Leo nimegonga mke wa mtu

Leo nimegonga mke wa mtu

Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.

Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wangu hata niwe mhuni kias gan?

Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu

Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..

Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake

Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.

Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo

Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.

Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya

Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.

Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan

Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu

Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga

Arrrgggghhh....sawa ila jitahidi kutofautisha chart na chat...unatuumiza macho
 
Tayarisha vilainishi maana soon mwenye mume atakutembelea hapo kwako soon
 
What goes around comes back around..

Na wako atagongwa tu..!
 
Tangu nikiwa kijana nilikuwa napinga sana swala la kutembea na mke wa mtu na nilikuwa naona ni ujinga sana.

Nilishaapa mara nyingi sana mbele ya marafiki zangu kuwa sitokaa nitembee na mke wangu hata niwe mhuni kias gan?

Kuna kipindi flan nikiwa bado dam inachemka nilisumbuasumbua mtaani mpk wake za watu wakaanza kujeleta kasi ila nilikuwa nawakata midomo na haikuwa kutokea nikadate na mke wa mtu

Leo yamenikuta mwenzenu....iko hivi..

Jana kuna mtu alinitext instadirect kwenye acc yangu ya biashara ni mdada akinipa cont zake

Nikamfata whatsap nikijua mteja huko akanitumia picha yake nikamkumbuka ni x wangu wa o level bana miaka hiyoooo!! Tukachart akaniambia kaolewa ana watoto wawili na mmewe wanaishi nje ya mji.

Sasa ktk charting za hapa na pale akasema anahitaji tuonane aone ka nimekuwa mbaba maana au bado namwili mdogomdogo

Leo sijatoka nilikuwa najisikia vibaya hivyo biashara kaenda fungua mdogo wangu.

Asubuh tukachart kdg nikamwambia naumwa akauliza napokaa nikamtajia ghafla kimya

Baada ya saa nzima akanipigia kafika nimwelekeze kwangu basi nikamwelekeza akaja nikamfungulia akaingiza gari.

Akadai amekuja kunipa pole ila maongez mengi akawa ni sifa za hapa na pale tunapeana maana na yeye kapendeza ana chura flan amazing na ngozi imekuwa ya mtume sijui ndo dela cream ya ditector Joan

Kwakweli tangu anaingia nimejiapiza moyoni sili mzigo maana ni mke wa mtu ila kilichotokea sijui ila mpaka sasa tuko kwa bed tunajiandaa kuingia round ya tatu

Dah!! Naomba god anisamehe sikupanga

!
!
Duuuh mkuu unapata na muda wa kutuhadithia kabisa?
 
Mauti na yakuandame! Amen
 
Kumbe ni Ex-wako, Si ulishawahi kutembea naye? Kwani kuna kilichoongezeka?. Kwa hiyo umemrudia Ex wako aliyeolewa.
 
Mla makombo ya mumewe, Wewe na uyo mwanamke wote Hamna akili,
 
Tukila sisi mabeki tatu kelele nyingi ooh huna adabu! toka kwangu! vijana wa siku hizi mmeharibika sasa sijui nyie wakubwa mmefanyeje..?
ila story yako mwishoni ina asilimia kadhaa za kuonyesha uongo!
 
Niweke picha ili uamini?
 
Back
Top Bottom