Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
Kama kuna jambo watu wengi humu wamekua wakidhania Dar imeshinda Nairobi ni katika mahoteli. Kila siku tunapigiwa kelele humu jinsi Dar ilivyo na hoteli bora na wengi wetu tuliamini maanake Dar ni mji ulio pwani ilhali Nairobi upo ndani. Lakini leo nimeshangaa kwa ule uzi wa Dar v Nairobi nimeenda moja kwa moja na Annael jamaa kapost picha mbili za star rated hotels Dar na akaishiwa wakati mimi nina list kibao sijapost hadi jamaa akaanza kupost ma guest house na brothels wakati mie nampa 4 star na 5 star hotels. Kweli nimeidharau Dar. Yaani mji upo pwani lakini hoteli hauna?😀😀😀😀
Hong Kong Hotel Dar Es Salaam
20171014-173723-largejpg.jpg


83516697.jpg


hong-kong-hotel-26369-a44baf0002de31da466194fce4d1c0e0d8e2f2e5.jpeg
Rainbow Hotel Dar Es Salaam
rainbow-hotel.jpg


rainbow-hotel.jpg


img-20170822-wa0040-largejpg.jpg
 
Imejidhibitisha wazi.

Dar has 2 or 3 five-star hotels.
The rest are lodgings, guest houses, brothels, and 'bar & rest'.
Five Star Hotels nilizoona kwenye ile thread.

1. Kilimanjaro
2. Serena
3. ......
 
[emoji23] [emoji23] aisee huyu jamaa huwa mtupu kichwani. ati Hong Kong
?! where are them twilight girls at???? lol
83516697.jpg
 
Ingine hiyo...........angalia pande ya kulia ni slum tupu.😀😀😀😀
24221316733_b1414de7fd_b.jpg
 
Nimefurahi umekubali kwamba nililosema lina ukweli. Hayo mengine ni personal opinion na hayana maana kwa sasa. Ahsante.
unafurahia kuambiwa ukweli?kusema ukweli mimi ningekuwa Mkenya nisingetumia hata sekunde yangu moja kubishana na Watanzania kwamba nchi gani imeendelea zaidi, Kenya iko mbele zaidi tena kwa mbali na zipo sababu nyingi za kimatukio zilizoiweka Kenya mbele!!Nadhani wakenya mlitakiwa muwe mnabishana au kushindana na South Africa na Nigeria na Nchi za Kaskazini Mwa Afrika,nayaona makenya yote yanayobishana na watanzania ni majinga ukiwamo wewe NairobiWalker....Kenya is far ahead of Tanzania
 
Wakenya na nyie kausheni basi.. Hizo hotel za nini wakati watu wengi maskini tu watumiaji wa hotel wachache mpaka nyingine zinabadilishwa kuwa hostel za wanachuo [emoji23] [emoji23]
 
Wakenya na nyie kausheni basi.. Hizo hotel za nini wakati watu wengi maskini tu watumiaji wa hotel wachache mpaka nyingine zinabadilishwa kuwa hostel za wanachuo [emoji23] [emoji23]

Zilizobadilishwa labda hizo guest house zenu.
 
Double tree by Hilton
Seacliff
Serena
Hyatt regency
Protea amani beach
Protea courtyard
Ramada resort
Golden tulip
Best western coral beach
Atlantis hotel
Ledger plaza
Hizo hapo zote ni 4 na 5 star
Na bado zipo nying nyingine ukitaka tuendelee
 
Hyatt regency (Kilimanjaro )iko poa bt zingine haziwezi ku compete na kina ibis hotel 😱😱😀😀
Hiyo pekee ndio hoteli ya maana huko. Ramada inajaribu pia ila vitu zingine tumepostiwa hadi karibu mbavu zivunjike. Ona hii sasa. Hii ni guest house ya watu maskini bwana, sio tourist hotel.
Cornrad Hotel Dar es salaam
54152696.jpg


89878170.jpg


54152758.jpg
 
Double tree by Hilton
Seacliff
Serena
Hyatt regency
Protea amani beach
Protea courtyard
Ramada resort
Golden tulip
Best western coral beach
Atlantis hotel
Ledger plaza
Hizo hapo zote ni 4 na 5 star
Na bado zipo nying nyingine ukitaka tuendelee
Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.😀😀😀😀
a-boutique-living-experience.jpg
 
Hiyo pekee ndio hoteli ya maana huko. Ramada inajaribu pia ila vitu zingine tumepostiwa hadi karibu mbavu zivunjike. Ona hii sasa. Hii ni guest house ya watu maskini bwana, sio tourist hotel.
Mi nawabandikia budget hotels mingi ambazo zikienda dar zitakua 5* kina tune na Concorde hotel alafu wao wanaeka lodging kama Zile za riverroad za kupeleka chips funga😀😀😀Dar jaina kitu kwa nairobi aisee😀😀😀
 
Back
Top Bottom