Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.😀😀😀😀
a-boutique-living-experience.jpg
Banda la kuku aisee hawa wabongo watatumaliza leo nakicheko😀😀😀😀
 
Mi nawabandikia budget hotels mingi ambazo zikienda dar zitakua 5* kina tune na Concorde hotel alafu wao wanaeka lodging kama Zile za riverroad za kupeleka chips funga😀😀😀Dar jaina kitu kwa nairobi aisee😀😀😀
Concorde Hotel Huko ni 10* 😀😀😀😀
77281988.jpg
 
Serena hotel Dar
 

Attachments

  • _20180521_210634.JPG
    _20180521_210634.JPG
    19.1 KB · Views: 80
  • _20180521_210653.JPG
    _20180521_210653.JPG
    14.9 KB · Views: 67
Ingine hiyo...........angalia pande ya kulia ni slum tupu.😀😀😀😀
24221316733_b1414de7fd_b.jpg
Ha ha Rising Sun Hotel kuna ndugu yangu anafanya kazi humo ndani. Halafu chini yake kuna Benki ipo KCB kuna jamaa akuwa lindo pia ni rafiki yangu sana sana. Huwa anakuwa ndani kuwaelekeza wateja hapa na pale. Dah nikiona hizo picha nawakumbuka tu ndugu zangu hao
 
Back
Top Bottom