Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Banda la kuku aisee hawa wabongo watatumaliza leo nakicheko😀😀😀😀Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.😀😀😀😀
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banda la kuku aisee hawa wabongo watatumaliza leo nakicheko😀😀😀😀Weka picha tuzione. Maneno tu hayataonyesha the real picture. For example, Atlantis hotel ndio hio eti 5 star.😀😀😀😀
![]()
Concorde Hotel Huko ni 10* 😀😀😀😀Mi nawabandikia budget hotels mingi ambazo zikienda dar zitakua 5* kina tune na Concorde hotel alafu wao wanaeka lodging kama Zile za riverroad za kupeleka chips funga😀😀😀Dar jaina kitu kwa nairobi aisee😀😀😀
Hiyo sasa ni 1* ama? Hii ikija Nairobi hata top 20 haitaingia.
Leta 5* acha aibu😀😀😀😀Hiyo uku nairobi budget hotel aisee😀😀😀
Leta 5* acha aibu😀😀😀😀Hiyo uku nairobi budget hotel aisee😀😀😀
Compare and contrast
Achana naye huyu jamaa anatafuta attention. Amekimbia tulikuwa na mpambano naye. Mpotezee atachoka mwenyewe. Haya ni maumivu baada ya kumpiga za mbavu. Hahahaha. Mpotezee
Hapo sawa sasa leteni Hyatt regency alafu mwende mkalale juu hamna 5* ingine.Serena hotel Dar
Ha ha Rising Sun Hotel kuna ndugu yangu anafanya kazi humo ndani. Halafu chini yake kuna Benki ipo KCB kuna jamaa akuwa lindo pia ni rafiki yangu sana sana. Huwa anakuwa ndani kuwaelekeza wateja hapa na pale. Dah nikiona hizo picha nawakumbuka tu ndugu zangu haoIngine hiyo...........angalia pande ya kulia ni slum tupu.😀😀😀😀
![]()
Huyu jamaa anatafuta attention. Tulikuwa na mpambano kwenye uzi fulani. Kakimbia. Mpotezee tu. Maumivu yakiisha atarudi kwenye hali yake ya kawaida. Ameanzisha thread kwa hasira. Hahahahaha. Mpotezee
acheni nae huyo kakimbia mziki kule kwenye battle kaona mambo magumu😀😀😀Southern Sun DarView attachment 783055View attachment 783056