Leo Nimeidharau Dar es Salaam Sana.

Hivi huwa inakuwaje mnapata muda mwingi wakukaa JF mkijibizana bila kufanya kazi. For me am self employed lakini sio muda mwingi unanikuta JF unless nakuwa na likizo au labda nikuwa na free time. Nairobi walker una kazi au ni mtoto wa mama ??
Hebu muulize yule jamaa wenu Ichoboy hilo swali. Comments zake zinaangukanga hapa hata saa tisa za usiku! Yule nafikiri ameandikwa na CMM humu ndani na mshahara wake si kidogo
 
Nashangaa ati tumejieka this low kujicompare na watu hawaezi tufikia. Tucheze ligi yetu bana. Tanzania ni nchi ndogo sana. Nashangaa kuona wakenya wenye akili timamu waki argue na imbeciles who know that we're a thousand miles ahead of them.....
 

La muhimu pia, ni kwamba haijalishi nani amendelea bali sote tunaweza kusoma kutoka panda zote mbili kwa mambo tofauti.
 
zanzibar stands alone. Uliza Balala akuambie! Zanzibar the home of most high class hotels in EA.

I have been to Zanzibar upto Nungwi in the North and Kiwengwa in the East,,, I didn't see anything special. Malindi easily beats Zanzibar hands down any day. Even Watamu will easily knock Zanzibar off its feet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…