Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
And Nairobi beats Dar, a coastal cityZanzibar beats Nrb.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And Nairobi beats Dar, a coastal cityZanzibar beats Nrb.
Hebu muulize yule jamaa wenu Ichoboy hilo swali. Comments zake zinaangukanga hapa hata saa tisa za usiku! Yule nafikiri ameandikwa na CMM humu ndani na mshahara wake si kidogoHivi huwa inakuwaje mnapata muda mwingi wakukaa JF mkijibizana bila kufanya kazi. For me am self employed lakini sio muda mwingi unanikuta JF unless nakuwa na likizo au labda nikuwa na free time. Nairobi walker una kazi au ni mtoto wa mama ??
Under Construction Hilton Pinnacle Tower is bigger than all 5* hotels in Tz combined.Tukihesabu under construction itabidii uitishe back up burundi na rwanda.
unafurahia kuambiwa ukweli?kusema ukweli mimi ningekuwa Mkenya nisingetumia hata sekunde yangu moja kubishana na Watanzania kwamba nchi gani imeendelea zaidi, Kenya iko mbele zaidi tena kwa mbali na zipo sababu nyingi za kimatukio zilizoiweka Kenya mbele!!Nadhani wakenya mlitakiwa muwe mnabishana au kushindana na South Africa na Nigeria na Nchi za Kaskazini Mwa Afrika,nayaona makenya yote yanayobishana na watanzania ni majinga ukiwamo wewe NairobiWalker....Kenya is far ahead of Tanzania
zanzibar stands alone. Uliza Balala akuambie! Zanzibar the home of most high class hotels in EA.