Leo nimejaribu kubet, sirudii tena

Leo nimejaribu kubet, sirudii tena

Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena. Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa. PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
Sio lazima uende na timu itakayoshinda, mara moja moja uwe unajaribu na idadi ya magoli

1631792293448.png
 
Hahaha umenikumbusha wazee wa kubet walivyo ni inspire nami nikajitusu nikaweka mzigo

Ilikua madrid na ajax, afu madrid yuko nyumbani. Nikasema ngoja nipate maoni ya wachambuzi nguli kutoka kwa magwiji wa kubeti.

Kule kila mtu alisema ajax anakufa, nami sikuishia hapo nikaenda hadi google kucheki ile wanaita h2h nikaona kila mtu kasema madrid anashinda tena ushindi wa goli nyingi

Ukiangalia hata kampuni nyingi za kubetisha zilikua zimetoa odds ndogo kwa madrid kuonesha kua wana uhakika wa ushindi kwa asilimia kubwa

Nikajisemea kwasababu mimi ni mgeni na huu mchezo wacha nibeti kwa timu moja nisiweke idadi nyingi za mechi maana moja ikifungwa mkeka umechanika

Nikaibetia madrid kua itashinda kisha nikaweka 25,000. Mechi ikaanza madrid kapigwa goli moja kipindi cha kwanza

Nikalala nikasema kipindi cha pili kichezwe nikiwa sioni pengine miujiza inaweza fanyika asubuhi nikiamka ntakuta tatu moja

Asubuhi kumekucha naingia livescore nakuta madrid kachapika goli 2 kwa 0

Nikiwa katika mpango wa kukata tamaa akaja mchizi mmoja akasema leo kuna barcelona na real betis wanacheza weka 5,000 ibetie barcelona angalau upunguze hasara

Nikasema poa, nikaweka barcelona waka droo nikasema huu ujinga siji kuufanya tena
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa mara ya kwanza nimejaribu aisee huu mchezo sirudii tena.

Unaona timu kubwa inashinda but wanachokifanya upuuzi kabisa.

PSG mmeniangusha sana. Sitarudia tena.
Hutaacha, nakwambia...
 
Sito sahau mwaka 2018 nilipunwa zaidi ya millioni 4 na timu yenye odd ya kipuuzi sana. Wakati huo nilikuwa nasubil milioni 11 na ushee huko. Bet slip yangu ilikuwa na timu 3 mbili zikakubali hiyo moja ikaleta ufala dakika za mwisho. Sito sahau hilo tukio
20210916_051049.jpeg
 
Wamekula elfu 10. Yaani nilikuwa nachukua karibu 300k hapa. Ujinga sana huu [emoji28][emoji28]
UNGEKULA UNGEUITA UJINGA?
bet what you can afford to lose.
sasa wewe umebeti hela ambayo ulikuwa unaihitaji sana ndio maana umeumia
 
Kashanasa huyu hachomoki[emoji23][emoji23][emoji23]. Hapa atatafuta mbinu nyingine.

Endelea tu mkuu now cheza magoli.

Cc Joanah
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] sijui na sitaki kabisa
 
UNGEKULA UNGEUITA UJINGA?
bet what you can afford to lose.
sasa wewe umebeti hela ambayo ulikuwa unaihitaji sana ndio maana umeumia
Issue sio kuumia bali yale matarajio yanavyokuwa halafu yanageuka ghafla. Kiukweli huwa siwazi kupoteza na ndio strength or weakness yangu ilipo. Hata kuhonga halafu dem azingue hiyo ndio imetoka hivyo yaani.
 
Sito sahau mwaka 2018 nilipunwa zaidi ya millioni 4 na timu yenye odd ya kipuuzi sana. Wakati huo nilikuwa nasubil milioni 11 na ushee huko. Bet slip yangu ilikuwa na timu 3 mbili zikakubali hiyo moja ikaleta ufala dakika za mwisho. Sito sahau hilo tukio View attachment 1940612
Kuna jamaa alibet timu 14 mpunga ulikuwa 24m+ halafu akapatia 13 moja akakosea kwa stake ya 2000. How about this.
 
Kubet hakuna ujanja ujanja, unaweza kubet hvy na bado ukauona moto
tena hapo kasema over 1.5 sabab kaona matokeo tayar! ila nakuhakikishia jamaa angeweka over 2.5 maana si anajua PSG wana vikosi kazi ndani! ingekula kwake so betting ni bahati tu
 
Its Mathematically Proven..., in the end the house always wins
 
Leteni mrejesho wa jana nyie mlio bet
 
Wale mlio bet leo vipi Man City [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom