leo nimejifagilia kwa demu baada ya kunikuta nabrowse JF

leo nimejifagilia kwa demu baada ya kunikuta nabrowse JF

flintsky

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
654
Reaction score
746
kama mazabe flani leo ndani daladala niko zangu bize nasoma makala za JF hapo pembeni wamekaa sista duu mbili zimejikwatua mara mmoja akaanza hata me nipo JF!unatumia user gani?
nikamjibu me invisible na mods ukiona hayo majina yametajwa ndio mimi akafurahi akamvuta skio mwenzake pembeni na yeye akaniuliza jamani woooww kumbe wewe ndio mods na invisible?!
nikamjibu ndio na FAIZAFOX ni shangazi yangu na yule nyani n' gabu,mshana na bitoz ni me ndio nawapa kiki huku JF!
watoto wameshoboka wakanipa namba ya simu wote eti niwatafute kwa muda wangu wao wako free!
daaaaahhhh
 
Nilikuwa sijui kumbe wewe ndio huyu!!!!

hita-jpg.436230
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Umenifurahisha sana , hapo fullu mavyeo , fanya kunipm namba ya mmoja na mimi nijifanye Yule moderator mkuu wa taifa, a.k.a mzee wa goli la
mkono...[emoji3][emoji3]
 
sasa kama wako umu JF, wakisoma huu Uzi watajiskiaje?..........
 
Back
Top Bottom