flintsky
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 654
- 746
kama mazabe flani leo ndani daladala niko zangu bize nasoma makala za JF hapo pembeni wamekaa sista duu mbili zimejikwatua mara mmoja akaanza hata me nipo JF!unatumia user gani?
nikamjibu me invisible na mods ukiona hayo majina yametajwa ndio mimi akafurahi akamvuta skio mwenzake pembeni na yeye akaniuliza jamani woooww kumbe wewe ndio mods na invisible?!
nikamjibu ndio na FAIZAFOX ni shangazi yangu na yule nyani n' gabu,mshana na bitoz ni me ndio nawapa kiki huku JF!
watoto wameshoboka wakanipa namba ya simu wote eti niwatafute kwa muda wangu wao wako free!
daaaaahhhh