Baada ya miezi 3 pima tena unaweza kukutwa nao.Mungu ndio anajua hali niliyokuwa nayo wakati nasuburia majibu ya kipimo hiki.
Ila, nina furaha ya ajabu baada ya kupata matokeo haya.
Wenye gut, karibuni tujue status zetu. Sio mpaka msubiri kupimwa kwa lazima na kaka mkubwaView attachment 1035553
Sent using Jamii Forums mobile app