Leo nimejitoa mhanga.

Leo nimejitoa mhanga.

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Mungu ndio anajua hali niliyokuwa nayo wakati nasuburia majibu ya kipimo hiki.

Ila, nina furaha ya ajabu baada ya kupata matokeo haya.

Wenye gut, karibuni tujue status zetu. Sio mpaka msubiri kupimwa kwa lazima na kaka mkubwa
20190301_214810.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa salama kabisa karibu CHAPUTA hakika utajutia wala hautakuwa na wasiwasi wa maisha yako
 
Back
Top Bottom