Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Leo nimejua hakuna watu wanaotamani kukaa Kenya kama wabongo.

Cheki bao la kiume hilo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Attachments

  • Michael Olunga GOAL Kenya vs Tanzania 3-2 Olunga G(360P).mp4
    1.6 MB
Usifanye nikakiurupue na panga kijirani changu kikenya cha KCB usiku huu,tusitafutane ubaya jamani ohooooo
 
Uzi wa kindezi kama huu
Pole bana...si kupenda kwako...ni maumivu tu ndio yanakupelela vibaya...punguza jazba kwanza[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️gooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal!!!!!
 
Halafu ungejua aliye lose ni Bashite na CCM yake na wala si watanzania wala usingejichosha hapa, mimi nagombana na xenophobia wala si hii mechi yenu na Bashite hebu nipishe sipo kwenye mpira kabisa usinitoe kwenye reli
 
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]leo tumewalamba kishenzi...kumbe zile mbio za sakafuni tu...mnatangulia n km njia mnaijua...kumbe mtakuja simama mtungoje tuwaonyeshe...nyangau kawaonyesh longway halafu yeye katumia panya...
 
Sio eti nakubaliana na Jaguar maana Wabunge nui watu wa kuropokwa ovyo ila jambo ndogo kama hilo Wabongo wameijadili hadi wamesummon Ambassador wa Kenya kwao ajibu maswali. Cha kushangaza nchi zingine zimelipuuza jambo hilo kama kitu kisicho na maana. Wabongo ndio wanaosumbuliwa tu. Kweli Wabongo wanaitamani Kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Serekali ilikua inataka tu ipate uhakika kua Kama ni kwel ili iamuru raia wake waishio Kenya warudi tu tz , ili msiwadhuru maana nyie wakenya mmeshaambukizwa ualishabab maana mna roho mbaya Sana , mnabaguana wenyewe Sasa wengine mtashndwaje kuwabagua,
Serekali ingejiridhisha tu basi hawa raia wenu waliopo huku tungewatiririsha Kama maji yanavyotiririka kwenye mto Hadi huyo ambassador wenu tungemfukuzia huko
 
Kuna mmoja miezi kadhaa iliyopita alichukuliwa na luo mmoja kutoka kahama kwamba anataka kumtambulisha kwa wazazi huko Kenya. Matokeo yake hakumfikisha kwao kamfikishia Gest anataka kumtumbua binti kasistiza haikuwa makubaliano yetu ila kama ulivyo niahidi tunakuja kumuona mama, kijana kasusa kamucha gest.
Bahati nzuri aliriport police wakarudishwa.

Wito wangu binafsi ndugu zetu wanapoenda nchi za watu fuateni sheria na utaratibu.
Lakini pia Watu wa Jamhuri ya kesha, Nchi yetu bado ina sheria nyingi kandamizi kweli kweli
Swala la kunadiwa mifugo ikikanyaga maeneo ya hifadhi hata kwetu ni hivyo hivyo.
Ilichowatendea ndicho watz huku tunatendewa ndiyo maana kila siku tunazidi sana kushauri na kuhitaji mabadiliko ya hizi sheria zisizo na utu na bado tunaendelea wewe ni shahidi bahati nzuri watz hatujafikia hatua ya kupinga kwa violence kama mfanyavyo ninyi ila tunapaza sauti.
Visasi mnavyotaka kufifanya vinaweza kuwa ni hatari zaidi kwenu kuliko faida. Ni bora mngewaondoa kisheria na sio kwa maneno ya mtaani
Ni vyema huyo mbunge angeshauri sheria kutengeneza itakayo waondoa hao msiowataka ila sio kwa kuhamasisha chok chok
 
Back
Top Bottom