Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Glory be to God
 
Yeah haya mambo it's unpredictable kabisa yaani unaweza kutomba nchi nzima na ukawa wala hauna wivu na wanawake ila sasa Ipo siku Moja Moyo wake utacreate bond na Mtu Fulani Halafu inakuja kutokea Huyo mtu anazingua au wewe unazingua Halafu anaondoka na kukuacha hapo sasa ndio utajua What's the meaningful to escaping from sobirbo 🀣🀣🀣
 
Mi zamani nilikuwa nikisikiaga zile story za mwanamke kuchinjwa, sijui kuchomwa visu 60 nk. Nilikuwa nawashangaa wanaofanya matukio ka hayo ila Sasa hivi nasema kama hayajakukuta kaa kimya,, mi na upole wangu huu ,nahisi nitakuja kutrend siku moja
🀣🀣🀣
 
Kuna bond inayojitengeneza ukishazoea kuwaona watu wako wa karibu kila siku kuitoa hiyo ni ngumu sana
mimi nishajiambia kabisa mke wangu atakua mama wa nyumbani yani nitamjengea awetegemezi kwangu kwa kila kitu siku zote ni wapo hai ila nitaandaa mazingira flani hivi ni kifa asiteseke sana maana ukimwezesha mwanamke yani jua ni umempoteza. Mbaya zaidi mimi hiyo bond na mke siitaki naishigi na mke wangu mpaka kuna kipindi ananiambia mbona unaishi na mimi kama unaishi na mtu back ila sijibu chochote zaidi ya kumuuliza kwani wewe hujiamini kuwa ni mke wangu alafu na kaa kimnya..

Hajawai kosa huduma yoyote ile ila nimemfanya amekua tegemezi mpaka anaogopa kunizingua maana anajua akizingua hata taulo ya kujisitiri anaweza akakosa japo siwezi mlipia ubaya kwa ubaya ( kiukweli na mpenda mke wangu ila siwezi muonyesha kamwe) . Kwanini na yafanya haya kwake niliwahi kuwa na wanawake kadha wa kadha na niliwawezesha na kuwaonyesha upendo wa kweli, nikachanganya hadi mahusiano na imani ila mwisho wake ulikua mchungu sana hakika hauelezeki na sitaki kukumbuka maana ilifika mahali nusu nijiangamize siyo kwa kuchwa masikini vile

Nb. Mke wangu anisamehe sana mimi ninaishi kwa kuharibu uchumi wake ili awe tegemezi kwa kila kitu kwangu kwenye maisha haya ila siku nikiwa sipo kuna vitu atakuja kushtuka nilimuwekezea kimnya kimnya maana watoto hawaaminiki wanaweza telekeza mama yao.
 
Hapo bado you need to give them time , Wewe unadhani wote walio fanyiwa drama na kugeukwa na wapenzi wao Hao wapenzi hapo Awali hawakuwa watu wazuri na wema kwao!?
 
Dadeki πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mama watoto wako sasa hivi ana hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…