Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Wanaume tunapitia mengi.
Hongera kwa kumsahau.
Mshikaji wangu yeye alilishwa sumu na mke wake.
Ilibaki kidogo tumpoteze mwamba. Engineer kabisa.
Washukuriwe madokta wa pale Aghakan.
Waliokoa maisha ya mshikaji last minute kabisa.
Leo nimemwona jamaa nikakumbuka aliwahi kuchungulia kifo live live
 
KIJANA KAMA UNATAKA UJE KUWA NA NDOA ILIYOBARIKIWA, WATOTO WALIOBARIKIWA, MME AU MKE ALIYEBARIKIWA, UJANA ULIOBARIKIWA, FAMILIA ILIYOBARIKIWA, MARAFIKI WALIOBARIKIWA, N.K BASI MTUMIKIE MUNGU KIPINDI HIKI CHA UJANA WAKO.

Kijana "Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya"
 
White imegonga besela ikatoka nje haf dk ya 95+ watu aaaaah aaaaah
 
😀 😀 😀
 
Haya mambo haya yanapendeza kusimuliwa tu hivi kwa wenzako......usiombe yakukute......ni mazito...............

Mdogo wangu nakumbuka yalipomkuta alikuwa anashinda chooni kutwa kama mende......hata chakula hali anasema hakina ladha.......

Ila mapenzi hayana baunsa......ukiwa hujaingia kwenye kumi na nane unaweza ukaongea mengi sana ya kejeli na dharau........

Baba yangu mdogo alikuwa anaongea sana shombo.....siku aliyokimbiwa na mkewe ndio nikajua haya mambo hayana mwenyeji......

Alikuwa anashinda ukweni anaomba msamaha mpaka usiku analala kibarazani kama mlinzi........dah!!

Haya mambo haya.....huwa yanaanza kama utani vile.....
 
Mi zamani nilikuwa nikisikiaga zile story za mwanamke kuchinjwa, sijui kuchomwa visu 60 nk. Nilikuwa nawashangaa wanaofanya matukio ka hayo ila Sasa hivi nasema kama hayajakukuta kaa kimya,, mi na upole wangu huu ,nahisi nitakuja kutrend siku moja
 
Na bado unaumia hadi leo, heal mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…