Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora.
Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile shairi bado lipo au ndio mnasoma mashairi ya Zuchu.
Jamani kama kuna aliyemeza lile shairi hebu tuliweke tukumbuke utoto sisi tuliozeeka sasa.
Ubeti wa kwanza uliandikwa.
Mimi ninaitwa moto, sifa zangu mwazijua.
Wazee pia watoto, wanipenda kuzidia.
Mimi ni mtoa joto, .....
Maji akajibu
Tulia moto tulia, mimi maji nakuzima.
....