Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yeyote.
Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.