DIKASHWA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 378
- 964
Na me ilishawahi kunikuta kuna lidada lilisimama nyuma yangu tukawa tumeshika bomba sehemu moja likawa lilinibana na maziwa mgongoni kwenye daladala halikuishia hapo likawa linanipapasa masikio na kiwiko cha mkono , macho yalinitoka kama mjusi aliyebanwa na mlango mdudu ulisimama kwa hasita nikawa naukemea ushuke hadi napata siti kijasho kilikuwa kishanitoka , alafu nilipokaa lidada likaanza kunicheka