Leo nimekutana na dungadunga wa kike kwenye daladala

Na me ilishawahi kunikuta kuna lidada lilisimama nyuma yangu tukawa tumeshika bomba sehemu moja likawa lilinibana na maziwa mgongoni kwenye daladala halikuishia hapo likawa linanipapasa masikio na kiwiko cha mkono , macho yalinitoka kama mjusi aliyebanwa na mlango mdudu ulisimama kwa hasita nikawa naukemea ushuke hadi napata siti kijasho kilikuwa kishanitoka , alafu nilipokaa lidada likaanza kunicheka
 
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.

Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.

Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
Ahahahaha.
Kwahiyo ulisimamisha kihenge?
 
Alikuwa ni Yanga pia nduguye na Halima Mdee
 
hahaha umefaidi sana
 
mkuu wewe ni mgumu sana kuelewa. Y kila sehemu inaleta issue za Simba Vs Yanga,na CCM. Kuna maisha baada ya soka na siasa
Nje ya mada; huwa nakuona bonge la boss, Kumbe nawe wapanda daladala! Simba na Chadema hawana watu
 
Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.

Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.

Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
Weka video tuone... Ama sivyo utakuwa unadanganya
 
Kwenye gari kuna mizuka ya ajabu , niliwahi pata mtihani kuwa nyuma ya mdada halafu nimebanwa pakujigeuza hamna nikajisemea hapa Mungu shahidi sina makosa , sio michezo yangu wala sifagilii basi ilikuwa balaa kubwa kila nikijitahidi hisia mbaya zisije mzigo unazidi kujileta karibu kama ngoma basi iliwamba mpk kukaribia kupasuka.

Watu walivyopungua nikashukuru chap nikajigeuza na kucontrol damage kwa kuweka sawa mazingira nisije kuabika.
 
Dah umenukumbusha Kuna siku nilikuwa natoka zangu Morocco naenda kimara jioni sasa tulivyoingia kwenye mwendokasi Kuna baadhi yetu tulikosa seat tukasimama ,gari ilivyofika kinondoni B watu wakajaa zaidi .
Kuna dada mmoja nilipanda nae Morocco terminal sasa Ile kujiweka sawa akakaa mbele yangu, ule msukumano bhana hali ikaanza kubadilika nikawa najitahid kucontrol hisia jamaa asiamke .

Yule dada kwakweli alinitesa maana nikawa nikienda kulia nae anajisogeza nikirudisha kiuno nyuma naye huyo yaani ule mbanano ukawa haupotei, Baadae nikaja kugundua yule dada kumbe alikuwa ananifanyia kusudi maana kama mara mbili alikuwa ananingalia usoni afu kingine jamaa yangu nilishindwa kumcontrol akawa anamgusa lkn Cha ajabu eti dada hajareact, maana angekuwa mwegine naamini angetafuta nafasi nyingine atoke au angeniwakia .

Kingine nilichoa mini alikuwa anafanya kusudi tulivyofika manzese watu walipungua lkn akawa amendelea kuniwekea takle lake ,ni Mimi tu kuepusha aibu nikasegea pembeni ikawa takle lake lipo pajani kwangu ndio ikawa
nafuu kwangu .
Nilivyofika kimara baruti nikashuka zangu kuelekea maskani yeye kaendelea na safari nikageuka nyuma kumbe alikuwa ananiagalia .
Ile siku nilimuwaza Sana yule dada Kuna muda nikawa najilaumu si ningeomba tu namba
 
Back
Top Bottom