Dah umenukumbusha Kuna siku nilikuwa natoka zangu Morocco naenda kimara jioni sasa tulivyoingia kwenye mwendokasi Kuna baadhi yetu tulikosa seat tukasimama ,gari ilivyofika kinondoni B watu wakajaa zaidi .
Kuna dada mmoja nilipanda nae Morocco terminal sasa Ile kujiweka sawa akakaa mbele yangu, ule msukumano bhana hali ikaanza kubadilika nikawa najitahid kucontrol hisia jamaa asiamke .
Yule dada kwakweli alinitesa maana nikawa nikienda kulia nae anajisogeza nikirudisha kiuno nyuma naye huyo yaani ule mbanano ukawa haupotei, Baadae nikaja kugundua yule dada kumbe alikuwa ananifanyia kusudi maana kama mara mbili alikuwa ananingalia usoni afu kingine jamaa yangu nilishindwa kumcontrol akawa anamgusa lkn Cha ajabu eti dada hajareact, maana angekuwa mwegine naamini angetafuta nafasi nyingine atoke au angeniwakia .
Kingine nilichoa mini alikuwa anafanya kusudi tulivyofika manzese watu walipungua lkn akawa amendelea kuniwekea takle lake ,ni Mimi tu kuepusha aibu nikasegea pembeni ikawa takle lake lipo pajani kwangu ndio ikawa
nafuu kwangu .
Nilivyofika kimara baruti nikashuka zangu kuelekea maskani yeye kaendelea na safari nikageuka nyuma kumbe alikuwa ananiagalia .
Ile siku nilimuwaza Sana yule dada Kuna muda nikawa najilaumu si ningeomba tu namba