Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Na wewe sasa huu ni umbea, kama unataka kunsaidia msaidie kimya kimya tu, sio lazima utangaze maisha ya mtu
 
cjaelewa vzr andiko lako,hlf ulivo malizia ndo umenichanganya,yan classmate amekufurahisha kuwa mhudumu wa hotel/ mgahawa?. ulitaka tujifunze nn Khs hili andiko?
 
Hiki kijiwe bhana ,yaani kila pumba ipo humu,sasa hapa tujadili nn wajameni ,mweh.
 
Kwa hiyo unatakaje???

Aki nimetafuta kitufe cha DISLIKE nimekikosa
 
Kwani kuuza mgahawa kuna tatizo gani?

Mdada anachapa kazi wewe unazurura tu kusaka umbea usio na faida.
 
Ok akasoma UDSM
Akaenda nje sijui kusoma nini!

Duuh hapo bwana Temba sijakupata kabisaa umepiga mixer ya hatarii
This is home of great thinkers mkuu
 
Watu wanakazi "maalum" humu mjini huwezi jua!
 
Kwahiyo umefurahia kumuona katika hali hiyo ya shida? Na je elimu yake kubwa na kazi ndogo anayofanya vinakuhusu nini? Kwani unamfahamu saana huyo dada? Maana kuna watu MNAWAZA haraka na kufika hitimisho bila KUFIKIRI! ANZA KUFIKIRI ACHA KUWAZA TU.
Mi sikumwelewa kabisa mkuu huyu mtu
 
Kwa kiwango cha elimu alichokuwa nacho sio rahis kuish maisha hayo
Kuna mawil anaweza kuwa usalama wa taifa au alikuwa tegemez kwa mtu na hakuwa na mbinu mbadala ya kujikwamua baada ya hitilafu
Mkuu mi nimeoa hawezi nidhania vibaya ningekuwa tayari kumsaidia kama ndugu na JIRANI na classmate shiida hataki mazoea na mtu
 
Mkuu rudia kusoma ulichoandika kama na wewe unaweza kuelewa. Kwa upande wangu nimeshindwa
Wengine wameelewa mkuu
This is home of great thinkers na wengine wafata upepo wapo pia , ila nimeandika ukweli kabisaaa
 
Huyu Jamaa anaishi Dar.
Na ndio walee wenye kulewa muda wa Kazi.
Hongera kwa kuitendea haki Weekend yako,haya ndio matokeo ya bia za pesa ya mshahara.
Ili mtu akuelewe lazima awe mlevi tena wa roba
No waza
 
cjaelewa vzr andiko lako,hlf ulivo malizia ndo umenichanganya,yan classmate amekufurahisha kuwa mhudumu wa hotel/ mgahawa?. ulitaka tujifunze nn Khs hili andiko?
Huwa mnasomaje novo mkuu?
 
Kwani kuuza mgahawa kuna tatizo gani?

Mdada anachapa kazi wewe unazurura tu kusaka umbea usio na faida.
Dah nilikuwa na njaa mkuu nikasema nile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…