Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Leo nimekutana tena na classmate na jirani yetu nyumbani nilikozaliwa, ni muuza mgahawa Dar!

Alikuwa na akili sana darasani, akasoma udsm, amejenga ghorofa kibosho na kanunua pickup imepaki tu hapo kibosho sijui narumu au umbwe, ameajiriwa mgahawani nabyuo kiloko loko, alikupa no ya simu baada ya hapo ahapatikani, hana simu kwa sasa, hahahahaa, changanya zako mkuu utapata majibu, au nenda break point k nyama unaweza mkuta



Ngoja nikupe true story
Kuna mbaba mmoja huku niliko alikuwa anauza soksi, anatembeza soks kila mahali, na ofis yoyote alikuwa anaingia, mpa hospitalini wodi zoteee, mji mzima ulimjua kwa jina la" sokesi" alikuwa akivaa yebo mpaka inatoboka, ana maswali sana, nanakiona vipi anaanza kutwanga injili, alikuwa mlutheri, ila watu walijua ni anasali tag, lakini kumbe sio, watu walijua ni maskini na ameokoka kumbe sio, hayo yote yalijulikana sikubaliyokufa ghafla kwa tatizo la apendex, raia walishanga msiba unasimamiwa na ofisi ya mkuu wa mkoa na wilaya, na gari za serikali kibao msibani, na serikali ndo ilisimamia msiba wake, mambo yoote ndo yalifichuka hiyo siku
Yesu Kristi na maria
 
Back
Top Bottom