Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

Huyo Mwalimu asingekukumbuka kwa sura coz ni kitambo sana,
Sasa ungemtafuna na yeye kwanza ili uombe msamaha kwa makosa mawili au ajue kua kumbe hata mtoto wake wa kike nae hakukosea kuliwa na wewe,

Yangu ni hayo tu kwa leo.
Hahaha mwl kwa sasa umri umekwenda. Kumtafuna yeye ni sawa na kumtafuna mama yangu mzazi, japo anajiweka vizuri kimazingira kiasi kwamba ukimuangalia kwa haraka haraka unaweza kuhisi bado kigori mdogo wa kuanzia miaka 30 kuja chini 🤣🤣🤣
 
Ahadi deni fanya kama ulivyowaza kijana
 
Darasa la nne mmejuaje kukunjana au unamaanisha form four?
Mkuu haikuwahi kucheza mchezo wa kibaba baba utotoni?

Kama uliwahi basi hauwezi kushangaa kwa hili. Watu tumeanza utundu tukiwa wadogo sana.
 
Mwishoni umemaliza vizuri sana.
Endelea na moyo huo huo mkuu
Asante mkuu.. ni vizuri kutoa pongezi, msaada au zawadi kwa wale waliokuwa sehemu ya mafanikio yako/ yetu ya baadae bila kujali changamoto ulizo/ tulizopitia kupitia yeye.
 
Mimi mwenyewe nimejiuliza hili swala, na nikaishia hapo hapo kusoma uzi
Vijana wa miaka hii wengi hamkuwahi kucheza michezo ya kibaba baba utotoni, ndomaana hilo umeliona geni kwako.

Sisi utotoni kwetu tulipitia mengi na kujifunza vingi.
 
Hajasema alisoma lini lakini miaka ya 80 mpaka 95 wanafunzi wa darasa la 4 ni sawa na form 4 ya sasa!! Kumaliza darasa la 7 na miaka 25 ilikua kawaida
Asante mkuu kwa maelekezo mazuri uliyowapa vijana. Yani ulichoandika ndio uhalisia wa kile kilichopewa miaka hiyo.

Afu pia inaonekana wenyewe hawakuwahi kucheza michezo ya kibaba baba ambayo ilikuwa ikitufunza mengi toka utotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…