Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
BlessingAsante mkuu... ubarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BlessingAsante mkuu... ubarikiwe sana
HongeraHabari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo.
Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar es salaam za kipindi hicho, ilikuwa imesheheni wanafunzi wenye tabia mbali mbali kama vile wapo wanafunzi waliokuwa na tabia ya utoro shuleni (hawa hata walipoadhibiwa, hawakuweza kuacha tabia zao), wapo waliokuwa wachafu, wavivu wa kuandika, wakaidi, wajeuri, waongeaji, bogus (vichwa nazi) nk.
Halikadhalika wapo ambao waliipenda shule, waliokuwa na nidhamu, wasafi (watanashati) , wapenda elimu, wapole, wabukuaji (wenye akili), wapenda sifa nk.
Kwa upande wa walimu pia hali ilikuwa ni hivyo hivyo. Nakumbuka nilipofika darasa la 6, tulikuwa na mwl wetu fulani wa kike jina lake ...(code). Mwl huyu alitokea kunichukia sana kutokana na tabia yangu ya ugomvi, na ubabe ubabe darasani kwetu na shuleni kwa ujumla. Ilikuwa kila ugomvi ukitokea darasani au shuleni lazima na mimi nitahusika ( nafikiri mazingira ya eneo husika na utoto pia vilichangia)
Sasa basi mwl huyu akawa akiingia darasani kufundisha ananiita na kuniambia nikae mbele kwa ajili ya kuniangalia kama nitapiga kelele wakati anafundisha, au kutibuana na wanafunzi wenzangu nk. Hivyo kitendo kile mimi nilikuwa sikipendi hata kidogo, na ukizingatia sisi ni baadhi ya watemi ambao siti zetu zilikuwa nyuma kabisa ya darasa, hakuna bwege yeyote aliekuwa na msuli wa kukalia madawati yetu ( i hope kila aliepitia shule analifahamu hili)
Sasa nikawa nafanya.. ikifika kipindi chake mimi najifanya kuaga naenda chooni, afu ndo inakuwa imetoka hiyo, yani sirudi hadi kipindi chake kiishe au sometimes hadi asubuhi yake ndo narudi tena shuleni.
Kitendo kile yeye hakukipenda, hivyo akawa hanipi tena ruhusa ya kwenda chooni kwenye kipindi chake. Dah.. nikawa naona ni dharau na usumbufu fulani, hivyo akawa akifundisha mi nafanya visa visa fulani ili niambie nikakae nyuma ya darasa au anifukuze kabisa darasani. Muda huo fimbo kwangu zilikuwa sio adhabu tena ya kunitisha.
Hivyo yule mwl akaamua kunibadilisha adhabu. Ikawa nikifanya kosa, ananiambia niende nyumbani kwake kumchotea maji, kusafisha safisha nyuma ya nyumba (alikuwa amepanda maua) alikuwa anaishi karibu na shule, hivyo wanafunzi wengi tulipafahamu kwake.
Sasa basi.. mwl alikuwa na kabinti kake ambako kalikuwa kanasoma shule nyingine tofauti na anayofundishia mama yake. Hako kabinti kalikuwa darasa la 4, alafu mimi nilikuwa nakashinda miaka miwili ya kuzaliwa.
Mara nyingi nikifanya kosa mwl alikuwa anasubiri saa 8 yani saa ya kwenda nyumban ndo ananiambia niende kwanza kwake nikatumikie adhabu yangu afu ndio niende nyumbani. Alafu mara nyingi yeye alikuwa anabaki shuleni kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi wengine twisheni.
Utasikia "wewe jeuri hebu nenda pale nyumbani utamkuta (fulani) amesharudi, ukanichotee maji na usafishe safishe kule nyuma ya nyumba yangu afu ndio uende kwenu, ole wako usipofanya nilichokutuma, ndo utanijua kama mimi ni mwl wako au ni nani wako" .
Kutokana na tabia yangu basi nikawa najikuta kwa week naenda kwake hata mara mbili au tatu, hadi binti wake akanizoea na kuwa rafiki yangu. Kama ilivyo ada urafiki wa kawaida kati ya mwanamke na mwanaume, au mvulana na msichana huaga haupo, tukajikuta tumeingia kwenye uhusiano.
Mwanzo nikawa namtafuna juu kwa juu, lkn ikafika kipindi nikawa namtafunia kwao (barazani kwao) Maana mama yake (single mother) alikuwa amepanga chumba na baraza na choo cha humo humo ndani.
Nikawa sasa kila siku nazidisha visa ili nipewe adhabu ya nyumbani. Za mwizi 40, siku 1 mwl alijisikia vibaya hivyo akaahirisha kufundisha twisheni na kuamua kurudi nyumbani muda mchache tu baada ya kuniambia mimi niende kwake nikatumikie adhabu yangu.
Mwl hakuamini baada ya kukuta nimemkunja binti yake, yani ilikuwa style ya kifo cha mende, miguu ipo juu afu kichwa chake kakiingiza kati kati ya magoti yake, huku na mimi nipo juu yake nampa tu haki yake.
Aisee mwl akaingia ghafla, ile kutaka kunishika nikamcholopoka ndukii nguo nikaeda kuvalia mbele ya safari (Yani kama kuna alieniona siku ile potelea mbali) mwl akawa mkali akataka kunipeleka polisi, lkn wazee wangu wakaingilia kati na kuyamaliza kiutuuzima, kwani ilionekana kuwa hata na yeye angekuwa na kesi ya kujibu kwa kitendo chake ch kumpa mwanafunzi na mtoto wa mwenzako adhabu ya nyumbani bila idhini ya mzazi wake.
Kilichofanyika nilihamishwa shule na eneo, na hapo ukawa mwisho wa mazoea na kujuana na mwl huyo.
Sasa baada ya kupita miaka, siku 1 nikamuona kwa FB nikamuomba urafiki kwa kutumia majina yetu ya mtaani, na yeye bila kujua (maana nimeshakuwa na kubadilika sana) akakubali tukawa tunawasiliana bila kuufahamu kuwa anawasiliana na mtu wa aina gani.
Sasa leo ndio nikamfuata inbox na kumueleza kisa chote, kisha nikamuomba msamaha. Aisee akanikumbuka na kunisamehe kwa moyo wake wote, kisha akaniambia kuwa binti yake mwenyewe aliolewa na sasa ana watoto watatu.
Na mimi pia nikamwambia nimeshaoa kitambo na nina familia ya watoto wawili tu.
Nimepanga siku nikienda Dar nimpelekee zawadi fulani ambayo itakuwa kumbukumbu muhimu katika maisha yake kwa msamaha wake, lkn pia na kwa elimu yake aliyonipatia mimi mwanafunzi wake.
😀😀 bazazi mkubwa
Najua ile michezo sisi hata nguo tulikua hatuvui sasa yeye mkunjo alioueleza ni kama game ya watu wazima!Vijana wa miaka hii wengi hamkuwahi kucheza michezo ya kibaba baba utotoni, ndomaana hilo umeliona geni kwako.
Sisi utotoni kwetu tulipitia mengi na kujifunza vingi.
HahahaHajasema alisoma lini lakini miaka ya 80 mpaka 95 wanafunzi wa darasa la 4 ni sawa na form 4 ya sasa!! Kumaliza darasa la 7 na miaka 25 ilikua kawaida
,🤣🤣🤣😎Najua ile michezo sisi hata nguo tulikua hatuvui sasa yeye mkunjo alioueleza ni kama game ya watu wazima!
TRA kwa baba ake..hapa kazi tuVijana muko na zalau za ULISI!! Assessment ya TRA unafungia andazi??
Hasa kwenye mchezo wa kujificha wa Kombolela, lazima nijifiche na Chausiku!!Vijana wa miaka hii wengi hamkuwahi kucheza michezo ya kibaba baba utotoni, ndomaana hilo umeliona geni kwako.
Sisi utotoni kwetu tulipitia mengi na kujifunza vingi.
Asante sana mkuuHongera
Nimeinunulia chapati kabisa wakuu
Wewe kweli uliufaidi utoto, tofauti na vijana wa leo ambao muda mwingi wapo kideoni tu au wanachezea simu za baba zao na mama zao 🤣🤣Hasa kwenye mchezo wa kujificha wa Kombolela, lazima nijifiche na Chausiku!!
Sana tu mkuu...Kuna mambo yanafurahisha sana...
Kijana hajui kama anaweza kupata kansa ya tumboni.Vitafunwa kufungwa kwa haya makaratasi ni uchafu,wengine wanaokota jararani aisee
Hilo sio lengo langu mkuu!Angalia mkuu usije kumuomba uvungu na yeye 😂😂
uchafu kwa baba ake... hapa kazi tuVitafunwa kufungwa kwa haya makaratasi ni uchafu,wengine wanaokota jararani aisee
Nakufahamu Dudumizi utakula Hadi mama Kuku.Amna mkuu, mi nili deal na binti yake tu [emoji3][emoji23]
[emoji28][emoji28]Wewe kweli uliufaidi utoto, tofauti na vijana wa leo ambao muda mwingi wapo kideoni tu au wanachezea simu za baba zao na mama zao [emoji1787][emoji1787]