Leo nimemalizana na mwalimu wangu kupitia mtandao wa kijamii

Hongera
 
Vijana wa miaka hii wengi hamkuwahi kucheza michezo ya kibaba baba utotoni, ndomaana hilo umeliona geni kwako.

Sisi utotoni kwetu tulipitia mengi na kujifunza vingi.
Najua ile michezo sisi hata nguo tulikua hatuvui sasa yeye mkunjo alioueleza ni kama game ya watu wazima!
 
Vijana wa miaka hii wengi hamkuwahi kucheza michezo ya kibaba baba utotoni, ndomaana hilo umeliona geni kwako.

Sisi utotoni kwetu tulipitia mengi na kujifunza vingi.
Hasa kwenye mchezo wa kujificha wa Kombolela, lazima nijifiche na Chausiku!!
 
Hasa kwenye mchezo wa kujificha wa Kombolela, lazima nijifiche na Chausiku!!
Wewe kweli uliufaidi utoto, tofauti na vijana wa leo ambao muda mwingi wapo kideoni tu au wanachezea simu za baba zao na mama zao 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…