sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika.
Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na kakuelewa labda 250 (Tshs laki 6 na 20), ukilia sana basi iwe walau short time basi 200 (Tshs laki 5 )
Hebu vuta picha tu kwa wale ambao kwa wiki wananunua mara 4, yaani ni takribani milioni 3 kwa wiki inakatika, Sio mchezo aisee.
Huku kwetu tukae kimya tu nimeona leo mtu analalamika kwamba mikoani bei za ugeni anapigwa 20.