Leo nimemeshangaa sana kwamba Dada poa Marekani ni shilingi laki 7, Tanzania tukae kwa kutulia

Dogo wamekudanganya, mbususu Marekani ni bure, ukitaka kulipa kuna wale wa escort utalipa bei ya kununua nyumba bongo, ila ukitaka zile za streets addicts zilizojaa UTI na gono utapata kwa 30$, ila umalaya US ni illegal kuwa makini watakufunga labda Vegas
 
Mkuu life la Us,Uk...ni tofauti na huku afrika hasa kwenye bei za bidhaa na huduma,so usd 700 hata kodi ya mwezi haitoshi.
 
Umemaliza kila kitu, sina cha kuongezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…