winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
- Thread starter
-
- #181
mmmh yaani mm ndio nkamuombe turudiane tena!!! impossibleDuh pole sana, ndio tulivyo aiseeee. usijali utaenda mwenyewe kumuomba mrudiane tena, muda ni mwamuzi mwema
Hapana huyo shetani ndo kwanza karipoti na zubeda lake kabisa,.. bado yupo yupo sana
Nilichokisema ni ukweli mtupu, utarudi umuombe msamaha. Sie tupo ila pia labda kama na wewe ulikua una mahali pa kupunguzia mambo yako. Haya mambo yapo tu na yanasameheka kama kweli una future naye.mmmh yaani mm ndio nkamuombe turudiane tena!!! impossible
Ngoja tuhamie PM tuongee vizuri kwanza. Mikushauri jambo muhimu sana huenda likakusaidiammmh yaani mm ndio nkamuombe turudiane tena!!! impossible
Huyo mdada uliye mkuta nampenda mno kama vipi hebu nipe namba yake
njoo pm
mbona nmekuja au hujaniona?Mbona Mimi nikikuita Huji? Vipi mshamuaga kamanda wenu?
mbona nmekuja au hujaniona?
Wanaume ndo walivyo hawatoshek muombe Mungu utampata mwaminfu pole sana
Chagua Moja
1. Haaujiwezi Kitandani
2. Una attitude mbovu towards mshikaji
3. Umebetweka na you are acting like his Mom and not girlfriend.
4. Mtu wa ku-complain kila saa
5. Haujui kuvaa na kupendeza
6. Mmbea, Mgomvi au mbinafsi
Na vijisababu vingine vingi hupelekea Mwanaume kuangalia alternative nyingine.
Kabla ya kumuangushia mzigo wote wa lawama embu kaa chini na wewe ujiangalie. Sio lazima uwe kikojozi ndio utendwe
Inawezekana lakini ngumu..Kuna siku nilimwambia mdogo wangu, kama hautaki karaha usijihusishe kabisa na mambo ya mahusiano iwe mapenzi au ndoa. Ukiamua tu kuingia kwenye hii tasnia, hayo yategemee japo sio kwa wote. Pole sana
Habari wana MMU,
Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.
Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.
Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.
Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!
Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa
Pole bibieHabari wana MMU,

Mlirudiana?Habari wana MMU,