Leo nimemfumania live bila chenga

Leo nimemfumania live bila chenga

Duh pole sana, ndio tulivyo aiseeee. usijali utaenda mwenyewe kumuomba mrudiane tena, muda ni mwamuzi mwema
mmmh yaani mm ndio nkamuombe turudiane tena!!! impossible
 
Nilichokisema ni ukweli mtupu, utarudi umuombe msamaha. Sie tupo ila pia labda kama na wewe ulikua una mahali pa kupunguzia mambo yako. Haya mambo yapo tu na yanasameheka kama kweli una future naye.
 
Nlizan Wanaume Ndo Tunaumia Tukifumania.Kumbe Wanawake Wanaumia?Me Nlizani Tukiwanyima Pesa Ndo Maumivu.Dah Wanawake Wengi Wanapenda Hela Sana Asee
 
Kama unampenda endelea nae utaachana na wangap na siku hizi usaliti tunafanya kama fashen cha muhimu mwambie akuelekeze udhaifu wako ili ujipange
 
Huyo mdada uliye mkuta nampenda mno kama vipi hebu nipe namba yake
 
Wanaume ndo walivyo hawatoshek muombe Mungu utampata mwaminfu pole sana
 
Chagua Moja

1. Haaujiwezi Kitandani
2. Una attitude mbovu towards mshikaji
3. Umebetweka na you are acting like his Mom and not girlfriend.
4. Mtu wa ku-complain kila saa
5. Haujui kuvaa na kupendeza
6. Mmbea, Mgomvi au mbinafsi

Na vijisababu vingine vingi hupelekea Mwanaume kuangalia alternative nyingine.

Kabla ya kumuangushia mzigo wote wa lawama embu kaa chini na wewe ujiangalie. Sio lazima uwe kikojozi ndio utendwe
 
Nikweliii
 
Kuna siku nilimwambia mdogo wangu, kama hautaki karaha usijihusishe kabisa na mambo ya mahusiano iwe mapenzi au ndoa. Ukiamua tu kuingia kwenye hii tasnia, hayo yategemee japo sio kwa wote. Pole sana
Inawezekana lakini ngumu..
 
Habari wana MMU,

Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.

Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.

Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.

Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!

Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa

Haturidhiki!!? Kwani sisi ndo tuliokuwa tunaku do? Mkome maana mwanaume ambaye hana kazi hata akikupenda vipi hamna time nao. Tena yule dada alitakiwa atoke uchi chumbani uone alivyomegwa vizuri. Mimi kabla maisha hayajaniendea vizuri nilifanyiwa hivyohivyo na mwanamke mwezako sasa nikuulize na nyinyi hamridhiki?
 
Habari wana MMU,

Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.

Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.

Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.

Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!

Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa
Pole bibie
 
Mlirudiana?
 
Back
Top Bottom