Leo nimemfumania live bila chenga



samahani, nimesoma mara mbili ila sijaelewa. nilitegemea na wenzangu wacomment the same ila naona kama wameelewa. kiukweli sijapata picha halisi. aliyefumania ni ke au me? bidada ni nani? kifupi sijaelewa.


uliyeelewa unisamehe pia. kama unaweza nieleweshe.
 
Sasa dada umefika wakati wa kufanya,maamuzi ya busara.Wakuichagua tigo pesa,ina lipaaaaa.
 

pole sana aisee...ninavyosugua goti kuzitafuta nafasi kama hizi za wadada commited...dah kweli kuna watu hawajui.kupendwa.
 

Story ya kutunga hiyo
 
Mimi ni ke nmemfumania me, bidada ni kabinti nilikokakuta ndani kwa me
 
Mwanaume kulala na mwanamke mwingine haimaanishi hakupendi.mchunguze kama wewe ndo wa moyoni mwake msamehe muendelee na maisha.kukosea kupo
 
Hapa sasa wote wawili wanazidi kuwa wabobezi wa mmu.

Kila tasnia ina mambo yake wadau wake lazima wakajue!
 
hapo nakushauri we fata mambo yako, anza kumtoa akilini na hata kama akiwa anakuja na vijizawadi we mwambie uhitaji zawadi utanunua vya kwako mwenyewe..... cha kuzingatia usiweke ugomvi wala matusi wala kufoka, simama kivyako, kazini usimpitie tena , simu sitisha kumtafuta maana hapo hamna la ziada kama kalala na mtu hadi asbh then nini tena unasubiri ukione zaidi ya hicho.. ongeza bidii kazini kwa kuwa una kazi yako very nice humtegemei kiuchumi...pole sana ila usilegee na kuathirika na hilo we still have a lot to do ktk lyfe, jipange kwa ajili ya familia yako ambayo Mungu atakupatia tu.
 
asante kwa ushauri bro
 

we ni hatari aisee..
 
kama haumpatii anachotaka lazima atafute kwingine. any way dunia ya sasa si ya kumwamini mtu kwa asilimia 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…