Leo nimemfumania live bila chenga

99% ya wanaume wanakazi za nje ni bora ubaki na huyo unayemjua anagalau utaweza kudeal nae kuliko kwenda kumsubilia usiemjua, bahati mbaya udondokee kwangu mbona utafurahi!
 
Kama kuna wanaume wa kiafrika hawaibi luti basi ni 1 katika 100. hili mabinti mlijue.

Mambo yameharibika cku hzi wanawake nao wanachepuka balaa. Kwanza wanaume wengi mashine zao haziwaki zaidi ya dk 5 kwahyo wanawake nao wanahangaika kutafuta mashine bomba...
 

Nicheki inbox mimi nakuapia ntatosheka kabisa na mavituz yako na wala sintochepuka
 
Mm wa kwangu niliwahi kumfumania live lakini ckugombana nae nilimrecord wkt wanafanya mambo yao just ushahidi2 then nikaondoka kesho yke nikamwita friendly nikamwambia all story afu uamuzi wngu ukawa nimekusamehe...trust m alikua kama crazy yani mpaka nilimuonea huruma ana nitreat like am his father...msamehe with no condition....mapenzi bana ukisema ufwate principle utajikuta unaishi Peke ako ni kuvumiliana2 kila mtu ana malezi yke
 

daah pole sanaaa nakusih endelea kupiga kimyaa ivyo ivyo usijib msg wala coL zake@nakupa week@ moja tu atarud anaLia mwenyew
 

Pole dada, kama ulimuuliza kumake choice kati yako au yule mwingine akasita changanya na zako tu coz they say dont allow a man to say he doesnt love u matendo yanatosha kukuelezea hilo..
 
Zama hizi hakuna mwanaume wa peke yako labda mume aliye jitoa kweli kweli.Kama ni mpenzi tu itabidi uwe mpole kama vipi na wewe tafuta kipoozeo ule zako raha kimya kimya wakati unaendelea kumsubiri mwana atangaze ndoa.Exclusive/monogamy relationship naona zinapitwa na wakati taratibu.
 
Aisee usikae nalo moyoni. Mtafute myaongee. Kila ndoa ina majaribu, saidianeni kuyashinda
 
winlicious usitaarabu uliouonyesha umenifanya niwaze kukugonga ili ulipize kisasi! Ni PM.
 
Last edited by a moderator:
Duh pole sana, ndio tulivyo aiseeee. usijali utaenda mwenyewe kumuomba mrudiane tena, muda ni mwamuzi mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…