Leo nimemfumania live bila chenga

Leo nimemfumania live bila chenga

winlicious

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,006
Reaction score
1,151
Habari wana MMU,

Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya.

Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nilisikia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nikajua atafungua mlango, nikaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpaka nione mwisho, simu zangu nikaweka silent baada ya dk 40 hivi nikasikia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia maji.

Ile kufungua mlango akakutana na macho yangu makavu nikamsalimia nikaingia chumbani nikamsalimia binti nikarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kwa adabu zote nikamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza eti kwanini sijaenda kazini nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa mi nimekaa tu sebuleni.

Sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nikamwambia ok karibu tena! Alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu!

Now msg kibao za maelezo mimi sijajibu hata moja, hivi wanaume kwanini hamtosheki jamani? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa
 
Kuna siku nilimwambia mdogo wangu, kama hautaki karaha usijihusishe kabisa na mambo ya mahusiano iwe mapenzi au ndoa. Ukiamua tu kuingia kwenye hii tasnia, hayo yategemee japo sio kwa wote. Pole sana
 
Habari wana MMU, nna mpenzi Wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya. Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nliskia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nkajua atafungua mlango, nkaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpk nione mwisho, cm zang nikaweka silent baada ya dk 40 hv nkaskia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia Maji, ile kufungua mlango akakutana na macho yang makavuu nikamsalimia nikaingia chumbani nkamsalimia bint nkarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kw adabu zote nkamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza et kwann sjaenda kazn nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa m nmekaa tu sebulen sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nkamwambia ok karibu tena! alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu! Now msg kibao za maelezo mm sijajibu hata moja, hivi wanaume kwann hamtosheki jaman? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa

Nikutumie Namba Yangu Ili Uje Utoe Hizo HASIRA Zako, Nikukatie VIUNO Vyangu Vya SELFIE Ya KOFFI OLOMIDE Kisha Jamaa Nae Aje ATUFAMANIE Ili Mechi Iwe Draw?
 
Pole yako aisee. Sasa sijui ni mchumba ama rafiki tu wa kulalana na kusepa?! Umefanya la maana sana kuwa mpole, maana ungeanzisha vurugu mwisho wa siku ungejuta na baadae kujiuliza, kama una haki kwake ama la! Tena pole yako!

Ahsante!
 
Njoo kwangu na sie tumkomeshe 😝😝😝😝
 
Habari wana MMU, nna mpenzi Wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya. Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nliskia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nkajua atafungua mlango, nkaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpk nione mwisho, cm zang nikaweka silent baada ya dk 40 hv nkaskia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia Maji, ile kufungua mlango akakutana na macho yang makavuu nikamsalimia nikaingia chumbani nkamsalimia bint nkarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kw adabu zote nkamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza et kwann sjaenda kazn nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa m nmekaa tu sebulen sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nkamwambia ok karibu tena! alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu! Now msg kibao za maelezo mm sijajibu hata moja, hivi wanaume kwann hamtosheki jaman? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa

hivi kwanini haukumtoaheleza mpaka anaenda nje?
 
Njo nikupoze na nikupende,na hautapata tabu me sipo hivo.
 
Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki
 
Sitetei hiko kidume
lakini naona amejikuta katika mazingira magumu
wewe anakuhitaji for future
lakini at the moment anahitaji mtu wa kumpikia na kumuandalia vitu asubuhi
na kumtoa uchovu usiku.....

huku wewe unakuja asubuhi na mnaendelea na mipango ya future...
mwenzio hana ofisi ya kwenda so kampa ubize wa kiaina...
huku wewe anakusubiri for future
 
Pole yako aisee. Sasa sijui ni mchumba ama rafiki tu wa kulalana na kusepa?! Umefanya la maana sana kuwa mpole, maana ungeanzisha vurugu mwisho wa siku ungejuta na baadae kujiuliza, kama una haki kwake ama la! Tena pole yako!

Ahsante!
ni mchumba best acha tu
 
Sitetei hiko kidume
lakini naona amejikuta katika mazingira magumu
wewe anakuhitaji for future
lakini at the moment anahitaji mtu wa kumpikia na kumuandalia vitu asubuhi
na kumtoa uchovu usiku.....

huku wewe unakuja asubuhi na mnaendelea na mipango ya future...
mwenzio hana ofisi ya kwenda so kampa ubize wa kiaina...
huku wewe anakusubiri for future
we boss wewe
 
Acha uchoyo naww kizuri kula na ndguyo. Kwan kaimaliza mashine dada wa watu? Si amekunwa kidogo na amekuachia naww?

Wanawake mbona wachoyo mnataka mule peke yenu? Haa!
 
Pole sana ndio. Maisha ya wanaumee wetu waskuizi bora umchunge mumeo lakn sio mpnz utaishia maumivu tu
 
Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki

tatzm mkiwa nacho mnajisahau namna ya kukitunza ndio maana tunaamua kutafuta kipya kinyemi.
 
Pole sana kwa hayo yaliyokukuta,ila mahusiano yana changamoto zake na faida yake inakufanya uwe imara na hodari ktk kukabiliana na tasinia nzima ya mapenzi.
Fanya maamuzi sahihi na maisha mengine yaendelee
J
 
Kama kuna wanaume wa kiafrika hawaibi luti basi ni 1 katika 100. hili mabinti mlijue.
 
Back
Top Bottom