Leo nimemshuhudia Rais Samia kwa macho yangu akitokea kwetu,kule mapenzi yalikozaliwa. Nimeona jambo na nafsi yangu imepoaaa

Leo nimemshuhudia Rais Samia kwa macho yangu akitokea kwetu,kule mapenzi yalikozaliwa. Nimeona jambo na nafsi yangu imepoaaa

dorge

Senior Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
118
Reaction score
186
Mambo matatu ya kipekee kwenye msafara wako mama.
1 . Msafara wenye magari machache. Ni mara chache kuona si kwenye video, na misafara mbalimbali magari kama kufuru. Msafara wako ulinivua sana.

2. Mwendo wa kistaarabu. Kwa mwendo ule hakika nchinilo.salama salimini. Hata Mwenyezi Mungu, ametutaka tutembee kwa heshima juu ya ardhi.

3. Nilikuona unasoma, hongera mama. Kusoma ni tabia njema. Mungu akupe ufahamu.

Jambo lingine nililoshughudia ni wananchi walikuwa wakitaka kukuona, waliqnza kusema yuleyule pale...yule pale nimemuooona tulifurahi sana

Tanga kama walivyo watanzania wengine hakuna fujo, umeshuhudia upendo na ukarimu wa hali ya juu. Mitano tena. Chukua
 
Back
Top Bottom