Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

Leo nimemuacha mpenzi wangu rasmi

[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin[emoji23]
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walimwengu
 
[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin[emoji23]
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.

Tasaf [emoji1787]
 
Huyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.

Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari.

Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao.

Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia

Nikaona niwafukuze tu

Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Shule zimeshafungwa sasa.

Mbona tutakoma.
 
Kosa lako unamhurumia humchenjui shwain

Mwanamke ukimchenjua kisawasawa vinono lzm akuletee

Ilitokea ajari kwangu yaani acha tu

Hivi hujui unanunua jogoo wewe harafu vinono anaperekewa mwanaume mwenzio mchenjuaji


Dah aki ya nani

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom