Leo nimemuelewa Ali Kiba, kweli hapendi shobo

Leo nimemuelewa Ali Kiba, kweli hapendi shobo

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
762
Reaction score
1,688
Leo Dodoma kwenye kikao cha CCM wasanii karibia wote walikuwepo ukumbini. Karibia wote walikuwa wamevalia jezi za CCM..Isipokuwa King Kiba, japo katumbuiza ila hakutaka kuvaa jezi ya CCM.. kama yule mtandale ambaye alitupia li suti la kijani kabisa
 
Aliulizwa hv karibuni na chombo kimoja cha habari kwanini hagombei ubunge kama baadhi ya wenzie akajibu ana sifa zote kasoro mbili, alipoulizwa azitaje akasema ya kuwa muongo muongo na Mnafiki

Hakufafanua zaid, nadhan mwandish hakumuelewa ndio sabab hakumuuliza zaid
 
Mbona katibu mkuu alituambia kuwa mwaka huu hawana pesa ya kulipa wasanii/hawatatumia wasanii
 
Watanzania wengi ni wajinga sana kufanya vitu vidogo kuwa vikubwa,hao wasanii wanalipwa kwa hizo show za ccm,kuvaa nguo au kutovaa kuna tatizo gani hapo?
 
Mbosso na dogo janja pia hawakuvaa jezi ya kijani na Hawa pia utasemaje?
 
Ni wajinga tu wanaomuona Kiba kuwa'so innocent' ila werevu tushajua tangu zamani kuwa naye yumo.
Mtu hajavaa shati la ccm kawaimbia ccm mnasema hapendi Shobo,mnachekesha kweli.
Na atawashangaza sana huyo mfalme wenu maana anazidi kuwafutia utetezi wenu mdogo mdogo.
Mara "ohh King hapendi siasa",mara "nyimbo zake unaangalia na wakwe", mara King" hapendi show off", sijui mmebaki na hoja ipi siku hizi.
 
Haujaangalia vzr, vizia marudio uangalie vzr then utaona wengine wengi tu ambao hawakuvaa hizo sare, kwa uchache DOGO JANJA NA MBOSSO
 
Back
Top Bottom