Leo nimemuelewa Ali Kiba, kweli hapendi shobo

Leo nimemuelewa Ali Kiba, kweli hapendi shobo

Ila wanaoumia zaidi ni wale team domokaya hawajui wachague lipi,msanii wao hana msimamo wanaoutaka wao.

Wale wenye kelele za oooh wasaniii wakianza kuishabikia CCM ndo mwisho wao wako wapi wanidondoshee domo
 
Sawa hajavaa vazi la ccm lakini si kapiga show...ningemuona hapendi shobo Kama tu angekataa kupiga show.
 
Huwez kuelewa sababu level yako ya uelewa ni ndogo sana
Yako ndiyo ndogo, kwasababu wewe unachotaka ni kubeza upande wa wengine kwamba wamekosea kuvaa sare kitu ambacho siyo sawa,,wao pia ni watanzania japo ni wasanii,,wanamaamuzi pia,wewe sema tu kwamba kiba hajavaa jezi ya chama ,basi,Siyo kusema wengine wanashobo.. hahaha..Usipaniki
 
Sijapanik kiongoz, kiba anajielewa kaenda kuchukua kilichompeleka (hera) basi! Hao wengine full shobo yaani mpaka mwanafatuma nae [emoji28][emoji28] like i said huwez kuelewa mpaka uwe na iq flani hivi.
 
No,,wewe IQ iko low sana,,maana inaonyesha hauwezi hata kuwavumilia watu wenye mlengo tofauti na wewe,,kama kitendo cha mtu kuvaa sare ya CCM tu umeshindwa kukivumilia basi kuna shida hapo..
 
Leo Dodoma kwenye kikao cha CCM wasanii karibia wote walikuwepo ukumbini. Karibia wote walikuwa wamevalia jezi za CCM..Isipokuwa King Kiba, japo katumbuiza ila hakutaka kuvaa jezi ya CCM.. kama yule mtandale ambaye alitupia li suti la kijani kabisa
Dogo janja pia hakuvaa kijani
 
Aliulizwa hv karibuni na chombo kimoja cha habari kwanini hagombei ubunge kama baadhi ya wenzie akajibu ana sifa zote kasoro mbili, alipoulizwa azitaje akasema ya kuwa muongo muongo na Mnafiki

Hakufafanua zaid, nadhan mwandish hakumuelewa ndio sabab hakumuuliza zaid

Mbona hizo ndio sifa kuu za wanasiasa?
 
Back
Top Bottom