Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Katibu anaongea kwa mihemko tu.Mbona katibu mkuu alituambia kuwa mwaka huu hawana pesa ya kulipa wasanii/hawatatumia wasanii
Hawana influenceMbosso na dogo janja pia hawakuvaa jezi ya kijani na Hawa pia utasemaje?
Alikiba ana influence ipi?Hawana influence