Leo nimemuelewa Ali Kiba, kweli hapendi shobo

Hahahaha bando za bure bwana ..uyo kibamia hama jipya ... shobo gani hajaonyesha ??
 
Leo Dodoma kwenye kikao cha CCM wasanii karibia wote walikuwepo ukumbini. Karibia wote walikuwa wamevalia jezi za CCM..Isipokuwa King Kiba, japo katumbuiza ila hakutaka kuvaa jezi ya CCM.. kama yule mtandale ambaye alitupia li suti la kijani kabisa
Kwenda tu pale ni SHOBO IN MAMBA OIL CHAFU VOICE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…