Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?



Mkuu hiyo ndio Tafsiri yenyewe au?
 


Sawa Mkuu
 
Ndoto sio za kuamini sana,japo kuwa zingine huwa za kweli..kuna nyakati huwa naota ndoto za ukweli.
 
ni ndoto nzuri sana mkuu.ukibahatika kukutana na kiongozi wa nchi kwenye ndoto basi tegemea mambo yako yalifungwa yatafunguka utapanda cheo kama ulikuwa na kazi.au jambo lako lililokuwa linakutatiza litatimia.sebule kuwa na vitu manaake mafanikio kadri ulivyokuwa unaona vitu vingi sebuleni ndivyo mafanikio au jambo lako litavyokuwa.
 


Nashukuru Sana Mfalme Njozi
 
Mkuu hiyo ndio Tafsiri yenyewe au?
Kama ni tafsiri au laa, muombe Mungu akupe details maana nimejaribu kuelezea kwa msingi wa maandiko na namna nilivyomsikia mchungaji mmoja akitolea ufafanuzi kuhusu swala kama hilo.
 
Ukiacha bangi utafika mbali dogo
 
Nilichojifunza hapa umetuambia namna JPM alivyokufa kumbe alilalamika kifua kinauma mpaka machozi yakawa yanamtoka then akadondoka wakamdaka ikawa ndio ntolee
.
Wewe ndio umejua mtoa mada kamaanisha nini. Katumia fasihi nzito mnoo kwa mtu wa kawaida kufahamu.
 
Nadhani hiyo inasababishwa na tatizo la kula vyakula vyenye gesi nyingi usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…