Leo nimemuota Magufuli Amekufa, usiku wa kuamkia leo, Nikafadhaika sana. Hii maana yake nini?

Huko alikokua anaongoza malaika, itakua kakata moto na huko
 
Ndoto ni matokeo ya ubongo kufanya imaginations au kumbukumbu ya kitu au tukio lililowahi kutokea. So there is nothing to be worried about.
Mkuu hii tafsiri yako nakubalia na na ww nusu n pia sikubaliani
 
Ubaya wa ndoto sivyo inavyokuja ndivyo inavyo tafsir inaweza kua na maana nyingine kabisa
 
Basi ndo amefanikiwa kufa kweli, maana ulimwenguni hapa kuna kunyakuliwa na mwanadamu na kunyakuliwa na Mungu,huenda alikowekwa huko kula pumba nako kakata moto.
Inamana misukule huwa inakufa Mara mbili au
 
Kuna namna hujamtendea haki mwendazake moyoni mwako kwa hiyo dhamira yako inakusuta.

Kama kweli umeota hiyo ndoto.

Ila nadhani hili ni zao jingine la fasihi toka kwako mkuu, Taikon wa Fasihi.
 
Asante kwa sala yenye nguvu. Na ikawe hivyo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mbavu za mbwa ni nini?
 
Magufuli alikufa hospitali ya Mzena au ya Jakaya Kikwete?
Naona,for some people,it is very important we should not be sure where he died.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…