Huyu nishamjua ni nani tayari.i wish jf kuwa na app ya kugundua age za watu !humu tungebaki wachache sana yaan!
Hahaha rudi umwamshe bado yuko ndotoni ujue.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kesho lazma nikuote[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Muache alale mkuu asije akaniota bure!!Hahaha rudi umwamshe bado yuko ndotoni ujue.
Kumbe haujawahi kuniota!! Mie nilikuota umeninunulia gari jipyaaa!!Kesho lazma nikuote
Hahaha na kweli, tena atakaefuata kuotwa anaweza akapewa ujawepesi kabisa, sio kwa kasi hiyo aliyonayo[emoji6]Muache alale mkuu asije akaniota bure!!
Nenda kalale tena posiibly leo utaota limepata ajali uliniazma niendeshe nikaliingza mtaronKumbe haujawahi kuniota!! Mie nilikuota umeninunulia gari jipyaaa!!
Si bora ujauzito nitajifungua, akiniambukiza magonjwa!!! We ndoto gani hizo za kuotana!!!Hahaha na kweli, tena atakaefuata kuotwa anaweza akapewa ujawepesi kabisa, sio kwa kasi hiyo aliyonayo[emoji6]
Na wewe ukafia huko huko mtaroni, ngoja niwahi kulala kwakweli.Nenda kalale tena posiibly leo utaota limepata ajali uliniazma niendeshe nikaliingza mtaron
Umeona enhee kumbe na Gar Kadi sikubadili Jina na Insurance inasoma Jina langu kulipa imelipa familia yangu dah embu wah ukalaleNa wewe ukafia huko huko mtaroni, ngoja niwahi kulala kwakweli.