Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si bora ujauzito nitazaa, akiniambukiza magonjwa!!! We ndoto gani hizo za kuotana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si bora ujauzito nitazaa, akiniambukiza magonjwa!!! We ndoto gani hizo za kuotana!!!
Yaani kwavile ulifia huko mtaroni hayo mengine hata hayamati tena, hilo ndilo la msingi.Umeona enhee kumbe na Gar Kadi sikubadili Jina na Insurance inasoma Jina langu kulipa imelipa familia yangu dah embu wah ukalale
Ulivyo na roho mbayaYaani kwavile ulifia huko mtaroni hayo mengine hata hayamati tena, hilo ndilo la msingi.
Wewe roho mbaya ya kuninunulia gari na kuliomba kisha unalitumbukiza mtaroni na haujanikabidhi documments huioni?Ulivyo na roho mbaya
Embu nenda kalale uniote nimepona nije nikukabidh document zakoWewe roho mbaya ya kuninunulia gari na kuliomba kisha unalitumbukiza mtaroni na haujanikabidhi documments huioni?
Silali kwakweli, bora nibakie nalo hata kama halina documents!!Embu nenda kalale uniote nimepona nije nikukabidh document zako
Mary Jane namtumia ila hajawah nituma kuanzisha sredi za namna hii[emoji3] [emoji3]Bange hizo
Hahahaha usiogope captain pamojaipi?