Leo nimemwambia ukweli

Leo nimemwambia ukweli

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Habari za muda huu,

Natumai mko poa wana jamiii Leo sijaogopa kumpoteza binti mlokole nimemchana nikawambia wewe mimi kama hutak kunipa tunda na mimi usiniombe pesa.

Akasema sawa sitakuomba dooo badae nkawambwambia sasa kana hutaki mimi nikafanye kwa nani na wewe ndio wangu akajibu ety basi kila mtu afuate mambo yake wewe umenifuata na tamaa ndio maana umeshindwa mapema.

Mimi nikamjibu sawa tu nikakata simu mimi naona kama nimempoteza powa najipanga nitongoze mwengine asanteni
 
Back
Top Bottom