Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Kila watu wanna Tanzania mmoja ana ugonjwa wa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee,mi sio mwanao,mi ni babako weweee,shika adabu yako kwanzaNdio mwanangu
Ulikutusomeshaaa kingerezaholybookofniggalations
Stop listening to her bro and focus on your bag don't waste your life force tryna turn a hoe into a housewife.. If the Lord Almighty himself couldn't keep her from listening to snakes what makes you think she gone listen to you ? C&P
Umesahau hiyo tafiti ilifanyika Tanzania. Mtoa mada atakuwa ni mmoja kati ya wale wanne...Kwann
Ndio maana kwahiyo huwa unapiga punyeto tu ?Cjawahi
Huyu ni kijana wetu tumemlea juzi juzi, so ameleta feedbackDuh kwani ndo mara ya kwanza kuachana mpka uanzishe uzi kwa hio na sisi tukizozana tukajibiwa shit na wapenzi sababu ya hasira tuje tuanzishe thread.umepata mkopo wa chuo?
❌Kila watu wanna Tanzania mmoja ana ugonjwa wa akili.
Unaijua team kataa ndoa ?Sana hiyoo napigaaa
Eti na huyu siku akioa atadai mkewe awe bikiraHabari za mda huu natumai mko poa wana jamiii Leo cjaogopa kumpoteza binti mlokole nimemchana nikawambia wew mm kama hutak kunipa tunda na mm usiniombe pesa akasema sawa sitakuomba dooo badae nkawambwambia sasa kana hutaki mm nikafanye kwa nani na ww ndio wangu akajibu ety basi kila mtu afuate mambo yake wewe umenifuata na tamaa ndio maana umeshindwa mapema mm nikamjibu sawa tuu nikakata simu mm naona kama nimempoteza powa najipanga nitongoze mwengine asanteni