...Hahahaa! Umeingizwa Mjini...wakati tayari Upo Mjini!![emoji3][emoji3][emoji3]Wadau Leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu....
Shikamoo! kumbe huwa tunajibizana mbovu na baba zetu na mama zetu wakati mwingine hapa JF! mwaka 1988 nilikuwa sijazaliwa.Hili jambo nilifunzwa na mama mmoja hapo Kariakoo sokoni mwaka 1988. Siwezi Mpatia muuzaji hela ili atafute chenji. Atumie yake au aombe kwa wenzake
Heading yako inasomeka kua umenunua maembe matatu kwa elfu kumi bila kupenda,Wadau Leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu....
Unaweza kuta kagongwa gari kafa, hayo maembe aliyawekea tego atakayeiba naye anapata madhara so ulipaswa uwaachie wenzake, imekula kwakoWadau Leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu..
ππππ. Sijui umewaza nini kiumbe wewe.Nilimwona mtu anakula embe huku analia, bila shaka alikuwa ni wewe. Pole sana.
Siyo mbaya atapata pesa ya daftari na kalamu za wanaweWadau Leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu...
Alipanwa na haja kubwa, alikuwa anakuulizia pale. Analalamika umeondoka na maembe yake. Ungemsubiri tu.Wadau Leo nimezidiwa ujanja nimebaki nacheka kweli mjini shule nimemkuta mtu ana maembe dodo mazuri Mbagala stand nikayapenda, nikauliza bei akasema ni sh. 800 na yapo 4 Mimi nilitaka mawili tu.
Nikampa 10,000 akawa chenji hana ikabidi aniache na maembe Yale manner na kiroba chake anaenda kuchukua chenji na kuleta mfuko aisee nimekaa Masaa nawili hajarudi. Nikawauliza majirani pale wanauza vitu wanasema hawamjui. Basi nimeondoka, kiroba nimetupa, nimechukua embe nipo home