Leo nimeokota noti ya shilling 10,000 ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.Je, hii ni bahati tu?

utakuwa unayo bahat sana.
Na mwaka jana kipindi cha corona, niliokota noti ya shilingi 5,000 mida ya saa 12 jioni nikiwa natoka kazini(huwa tunaingia kwa shift na ndio maana nikatoka muda huo)na siku hiyo hakukuwa na gari ya kazini hivyo nikaamua kutembea kurudi nyumbani na nilipita mjini nipate msosi kwanza ndio niingie home.

Kwa wanaoijua Dodoma, ni barabarani opposite na Benki ya Equity ndio niliokota hiyo noti.
 
Mleta post,
Hiyo elfu kumi hukuokota,Bali umeiba,sababu ulivyoiona imesahaulika hapo chini ya meza,na wahusika walishaondoka,ulitakiwa ipeleke kaunta ili siku wakiludi wapewe.
 
We sio mtu mwema kabisa kwanini usitoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu uhujumu uchumi huo umezoea vya kunyonga karibu utaacha kazi uwe unatusubiri ATM tudondoshe hela[emoji23][emoji23]
 
Mleta post,
Hiyo elfu kumi hukuokota,Bali umeiba,sababu ulivyoiona imesahaulika hapo chini ya meza,na wahusika walishaondoka,ulitakiwa ipeleke kaunta ili siku wakiludi wapewe.
Kwa taarifa yako, mpaka muda huu niko hapa kwenye hii Bar jamaa hawajarudi na saa hizi naona meza zinazidi Kujaa tofauti na mida ile niliongea.

Kwa sasa sitegemei tena kama watarudi maana muda umeenda sana.
 
Peleka Kaunta tafadhali
 
Kwa taarifa yako, mpaka muda huu niko hapa kwenye hii Bar jamaa hawajarudi na saa hizi naona meza zinazidi Kujaa tofauti na mida ile niliongea.

Kwa sasa sitegemei tena kama watarudi maana muda umeenda sana.
Hebu nielekeze ni bar gani nifike hapo na Extrovert na Kibosho1 maramoja
Tukikuacha uinywe hiyo elfu10 peke yako utatudharau sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Tuweke utani pembeni. Umewahi kuokota hela?
Niliwahi kuokota pesa nyingi nikamrudishia aliyepoteza

Alipita mtu na Pikipiki akadondosha bahasha nikaiokota, nilipochungulia ndani kulikua na pesa kama 2M. Sababu ilikua barabara inayotoka mjini kwenda mashambani nikaamua kukaa nione kama atarudi.... baada ya dk40 nikaona Pikipiki hiyooo nikamsimamisha nikamuuliza kama ni mwenyeji akajibu hapana ila alikua anaenda shamba sasa amepata tatizo. Nikampa bahasha yake hakuamini akanipa laki1

Baada ya miaka2 toka hapo na mimi niliibiwa 700K nikazipata zote
 
Nimewahi kuokota elfu ishirini ishirini mara mbili
Nikiangalia mazingira ya kuokota hizi hela, huwa naona kuna nguvu fulani nje ya uelewa wa sisi binadamu zinahusika.

Kwa mfano, mwaka jana kipindi cha Corona, niliokota noti ya shilingi 5,000 ila ilikuwa ni baada ya kutoka upande wa kulia wa barabara na kuhamia upande wa kushoto na mpaka leo sijui ni nini kilinifanya nihamie upande wa pili wa barabara siku ile.
 
Hongera sana na wewe ni mfano wa kuigwa. Ila kama umeokota hela na muhusika akajitokeza, basi hii ni situation tofauti kabisa na huenda Mungu anakupima imani yako.
 
Na
Na chapati mbili.
 
sio kila pesa ni ya kuokota pesa nyingine ni zamoto watu wapo kazini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ