Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Tena mara mbiliWapo watu hufanya makafara ya kuondoa mikosi Kwa kutupa hela au kugaia masikini..
Isije kuwa umeokota 'mikosi 'ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena mara mbiliWapo watu hufanya makafara ya kuondoa mikosi Kwa kutupa hela au kugaia masikini..
Isije kuwa umeokota 'mikosi 'ya watu
utakuwa unayo bahat sana.Siwezi kukupinga maana yote yanawezekana. Lakini swali ni je, kwanini zinikute mimi tu?
Asante sana Sister, Heri ya mwaka mpya piaHahaha
Heri ya mwaka mpya kwako na familia yako mtakatifu Ivuga💥
Heri ya mwaka mpya 2021💥CHADEMA bhana!
Heri ya mwaka mpya 2021💥
Na mwaka jana kipindi cha corona, niliokota noti ya shilingi 5,000 mida ya saa 12 jioni nikiwa natoka kazini(huwa tunaingia kwa shift na ndio maana nikatoka muda huo)na siku hiyo hakukuwa na gari ya kazini hivyo nikaamua kutembea kurudi nyumbani na nilipita mjini nipate msosi kwanza ndio niingie home.utakuwa unayo bahat sana.
Kwa taarifa yako, mpaka muda huu niko hapa kwenye hii Bar jamaa hawajarudi na saa hizi naona meza zinazidi Kujaa tofauti na mida ile niliongea.Mleta post,
Hiyo elfu kumi hukuokota,Bali umeiba,sababu ulivyoiona imesahaulika hapo chini ya meza,na wahusika walishaondoka,ulitakiwa ipeleke kaunta ili siku wakiludi wapewe.
Peleka Kaunta tafadhaliHabari wadau,
Kwanza nianze kwa kusema hii si mara yangu ya kwanza kuokota hela kama ambayo naamimi hata wewe msemaji huenda umewadia kuokota hela pengine zaidi ya mara moja.
Katika hali ya kawaida(kwani naamini ni kwa wengi), nimekuwa nikiokota hela ndogo ndogo(shilingi 1000,2000,500, n.k) tena katika interval kubwa tu kiasi kwamba nakuwa sikumbuki hata mara ya mwisho niliokoto lini.
Cha ajabu na kinachonifanya hata mimi nishangae na kujiuliza hilo swali hapo juu kwenye heading, ni mimi kuokota noti ya shilingi 10,000 tena mara mbili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.
Mara ya kwanza ilikuwa ni tarehe za mwanzoni za mwezi wa December ambapo nilikiwa katika matembezi yangu mjini nikaokota noti ya shilingi 10,000 na leo ni mara ya pili nimeokota noti kama hiyo nikiwa katika bar moja.
Leo hii nimekuja katika bar moja ambayo hata jana nilikuwepo.Tofauti na jana, leo hakuna wateja wengi hivyo meza nyingi kwa kiasi fulani ziko tupu na nimekaa pale pale nilikuwa nimekaa jana. Meza moja baada ya meza niliyokaa mini,kulikuwa na watu kama watatu ambao baada ya kupata vinywaji, wakaondoka na kwakweli hata sura sijawakariri .
Baada ya wahusika kuondoka, zilipita kama dakika sita nikajikuta nimegeuza shingo upande wa ile meza waliokuwa wamekaa na kuona noti ya shilingi 10,000 iko chini.Bila kuchelewa, nikainuka faster nikaiokota na hakuna alie-note chochote huku wahusika wakiwa nao wameaondoka na hata sura sijawakariri unless waje kuulizia kama kuna mtu kaokota hela kwenye meza waliokuwa wamekaa(wakija nitawapa).
Halafu kingine cha ajabu, ndani ya dakika kama mbili au tatu baada ya mimi kuokota hiyo hela, akaja muhudumu special anaefagia chini ya meza na kuokota vitu kama tissue akafagia kwenye ile meza iliyo tupu kisha akaja kwenye meza yangu na akaendelea kwenye meza nyingine kiasi kwamba ningechelewa kidogo tu, ile 10,000 angeokota yeye.
Sasa najiuliza, kuokota huku noti kubwa kubwa kama hizi tena ndani ya muda mfupi hivi, ni bahati tu au ni Mungu ananirudishia kile kidogo nachowapa ombaomba mitaani?
Kusema ukweli, mimi nikipita sehemu au nikiwa nimekaa mahali na akapita ombaomba, huwa sisiti kuwapa chochote na nimekuwa nikifanya hivi mara kwa mara na mara ya mwisho nilimpa ombaomba mmoja siku kama tatu hivi zilizopita.
Vile vile, some days back(miezi kama minne iliyopita) nikiwa chuoni(UDSM) mida ya saa moja kasoro jioni,niliokotoa noti za shilingi 1,000 zilizokuwa zimeachana umbali wa hatua kama mbili maeneo ya geti la chuo cha maji huku wanafunzi wakiwa wengi wanaotoka na kuingia chuoni mpaka nikapata wasi wasi wa kuokota noti ya pili ingawa ni wazi ziliangushwa na mtu mmoja akiwa anaetembea.
Kwanza namshukuru Mungu kwa bahati hii hasa hii ya kaokota noti kubwa ndani ya takribani mwezi mmoja katika kipindi hiki kigumu cha Tanzania ya Magufuli, na pia naomba niwaulize wenzangu juu ya uzoefu wao katika kuokota hela pengine kuna wenye bahati kubwa zaidi ya kuokota minoti barabbarani.
Karibuni tupeana uzoefu na tuelezani kama kuna uhusiano wowote wa kuwapa ombaomba fedha na kuokota hela na vitu vya aina hiyo na pia kama kuna mtu/watu ambao hawajawahi kuokota hela yeyote nao watueleze.
Hebu nielekeze ni bar gani nifike hapo na Extrovert na Kibosho1 maramojaKwa taarifa yako, mpaka muda huu niko hapa kwenye hii Bar jamaa hawajarudi na saa hizi naona meza zinazidi Kujaa tofauti na mida ile niliongea.
Kwa sasa sitegemei tena kama watarudi maana muda umeenda sana.
Niliwahi kuokota pesa nyingi nikamrudishia aliyepotezaTuweke utani pembeni. Umewahi kuokota hela?
Nikiangalia mazingira ya kuokota hizi hela, huwa naona kuna nguvu fulani nje ya uelewa wa sisi binadamu zinahusika.Nimewahi kuokota elfu ishirini ishirini mara mbili
[emoji3][emoji3][emoji3]Wapo watu hufanya makafara ya kuondoa mikosi Kwa kutupa hela au kugaia masikini..
Isije kuwa umeokota 'mikosi 'ya watu
Hongera sana na wewe ni mfano wa kuigwa. Ila kama umeokota hela na muhusika akajitokeza, basi hii ni situation tofauti kabisa na huenda Mungu anakupima imani yako.Niliwahi kuokota pesa nyingi nikamrudishia aliyepoteza
Alipita mtu na Pikipiki akadondosha bahasha nikaiokota, nilipochungulia ndani kulikua na pesa kama 2M. Sababu ilikua barabara inayotoka mjini kwenda mashambani nikaamua kukaa nione kama atarudi.... baada ya dk40 nikaona Pikipiki hiyooo nikamsimamisha nikamuuliza kama ni mwenyeji akajibu hapana ila alikua anaenda shamba sasa amepata tatizo. Nikampa bahasha yake hakuamini akanipa laki1
Baada ya miaka2 toka hapo na mimi niliibiwa 700K nikazipata zote
Na chapati mbili.Niliwahi kuokota pesa nyingi nikamrudishia aliyepoteza
Alipita mtu na Pikipiki akadondosha bahasha nikaiokota, nilipochungulia ndani kulikua na pesa kama 2M. Sababu ilikua barabara inayotoka mjini kwenda mashambani nikaamua kukaa nione kama atarudi.... baada ya dk40 nikaona Pikipiki hiyooo nikamsimamisha nikamuuliza kama ni mwenyeji akajibu hapana ila alikua anaenda shamba sasa amepata tatizo. Nikampa bahasha yake hakuamini akanipa laki1
Baada ya miaka2 toka hapo na mimi niliibiwa 700K nikazipata zote
Ila jamaa asingerudi ningekua nimeokota kama wewe😂😂😂Hongera sana na wewe ni mfano wa kuigwa.
sio kila pesa ni ya kuokota pesa nyingine ni zamoto watu wapo kazini..Habari wadau,