Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Weka ka picha kwanza sasa hapo umemuona panya au binadamu?
 
ungemuuliza kwani wewe ni panya?
akikubali unamwambia mi siamini nisubiri hapo,unaingia ndani unamchanganyia dagaa na sumu ya panya kisha unamuambia ale ili uprove kama ni kweli
 
Mmh. Itakuwa ndoto hii.

Mana amepataje ujasiri wa kukufuata mana kugeuka panya sio jambo dogo, hivyo hata hajahofia kama utamtangaza kama hivi ulivyofanya.
 
Kama hilo limetokea Dar nakubaliana na mleta maada 100%... Dar kuna panya wa ajabu sana.
 

Upo njia panda ya kwenda wapi?
 
Kuwa makini mkuu... Uenda uyo panya kuna mtu alimtuma ndan kwako ivo ulivompga akatoka nje kumbe mtu aliye muagza ndan kwako nae alikua nje pale pale,

so umechezewa trick ya panya kurud ndan kuendelea kutekeleza maagizo aliyopewa.... Be careful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…