Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

Leo nimeona panya wa alianza kula boksi nikamvizia na stick ya nguvu kilichotokea hiki

MSUBA...
9393370_orig.jpg
 
Dah! jamani nipo hai japo nimeumia paja! nilienda kumsalimia jirani yangu, nilichokipata siendi tena.., hahahahahahaha....!(utani tu!)
 
Mvumilie tu hyu baby wangu ana wivu alitaka nimtaje yeye wakat hajui mambo ya kichawi
Utasababisha nim mwagie mshana wa watu mafuta ya mbuzi katoliki.
Mbona umekuwa na interest sana na mambo ya juju??
 
Dah! jamani nipo hai japo nimeumia paja! nilienda kumsalimia jirani yangu, nilichokipata siendi tena.., hahahahahahaha....!(utani tu!)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yawezekana ni ww
 
Sikusimuliwa ila ni ushuhuda: Ilikuwa usiku, bundi katua juu ya nyumba yangu. Nilikuwa macho nimejilaza kitandani. Nikaamka taratibu hadi jikoni na kuokota kijinga ingawa hakikuwa na moto. Nikamlenga yule bundi. Anapostuka aruke akapatwa na kijinga. Alidondoka nyuma ya nyumba. Nilipozunguka nimkandamize, akapapatua akaruka lakini niligundua ameumia bawa moja kwa namna alivyoruka. Siku ya pili kuna mzazi alikuja shuleni amwombee ruhusa mwanae eti anaumwa anampeleka hospitali. Tukakomaa amlete tumwone. Akamleta amevunjika mkono wa kushoto. Maelezo ya kuvunjika yakawa tata. Alipobanwa mtoto akasema alinituma baba kwa mwalimu, yuleyule alikopigwa bundi. HAYA YAPO HASA HUKU BUSH.
 
Back
Top Bottom