Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nimeota nimeingia katika Kanisa,wapo watu wengi mule ndani wanaabudu katika misa. Nikasimama pembeni, halafu akatokea mtu akasema,"We njoo hapa, familia yako iko huku.". Nikamfuata yule mtu mpaka katikati ya Kanisa, katikati ya waumini wengi, familia yangu walikuwepo pale standing in worship and adoration, mostly female members, mostly quite young,about five to ten members.
Sasa nikajitazama nikaona nimevaa bukta. ( Bukta Ile Ile niliyovaa wakati nimelala) Familia yangu imevaa vizuri,watu wote ndani ya Kanisa wamevaa vizuri, lakini mimi nimevaa bukta. Kwa hiyo yule mtu aliyeniita nikamwambia,"Wewe acha utani." Nikaondoka. Hiyo ni usiku.
Mchana nimedoze siesta,nikapata njozi,oh mchana I confess nimedoze for too long. Nimekaa kwenye kiti katika verandah napigwa na upepo wa bahari.Nikapata njozi nipo ndani ya daladala,nabishana na konda wa daladala pamoja na dereva wa daladala nawaambia kwamba nawadai sh. 300( mia tatu). Lakini walikuwa hawaelewi nasema nini.
Kwa hiyo nimeamka nimemkumbuka yule mtu aliyekuwa anasema kwamba watu wanaenda kwa Mwamposa halafu wakati mwingine wanatoka huko hawana nauli ya kupanda daladala.
Watu wa mikoani hawaijui labda. Huko kwa Mwamposa Leo kuna mkesha. Au labda watu wa mikoani wanajua. Nasikia watu wamekuja wengine toka mikoani, wengine kutoka nchi za nje.