Leo nimeota nitachaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar

Leo nimeota nitachaguliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Hizi ndoto sijui kama ni kweli lakini hivyo ndivyo nilivyoota leo. Lakini haiwezelani mimi niwe Mkuu wa Mkoa kwa sababu sijui economics.

Hii ndoto inaniahidi mambo mazuri au nitapata vip treatment ya Iddi Amin?

Halafu sijui wapi naweza kukutana na mtu nimpe zawadi ili niwe Mkuu wa Mkoa.
 
Hizi ndoto sijui kama ni kweli lakini hivyo ndivyo nilivyoota leo. Lakini haiwezelani mimi
niwe Mkuu wa Mkoa kwa sababu sijui economics.

Hii ndoto inaniahidi mambo mazuri au nitapata vip treatment ya Iddi Amin?

Halafu sijui wapi naweza kukutana na mtu nimpe zawadi ili niwe Mkuu wa Mkoa.
We tamani tu kuwa Mkuu yakukute kama yule Mkuu wa Kagera
 
IMG_20220103_071415 (1).jpg
 
Hapo unatajwa kuwa mkuu wa Mkoa Dar kwenye ndoto zako za mchana...
Maskini tuna ota ndoto nyingi Sana
 
Back
Top Bottom